Ahsante Mungu, kwa kuwa macho yangu yameuona ukombozi wa Watanzania!. Natamani baba yangu angekuwapo kuyashuhudia haya!.
Watanzania tuilinde hazina ya taifa - CHADEMA.
Ni mtaji wa uhai wa nchi ya Tanzania.
Kwa nia moja, moyo mmoja, nguvu moja, maarifa yetu yote na nguvu zote, tushikamane sasa kutoa support kwa viongozi wetu CHADEMA. Lengo moja ni kuinua maisha na thamani ya Mtanzania chini ya uongozi makini wa CHAMA SAFI, CHADEMA!.
Mungu yuko nasi, tutafika salama!.
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.
Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.
Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.
Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.
Mwaka huu ni shidaaaaa....huyu ni mnyika bado hujagusa makamanda wakuuu wa anga a.k.a freeman mbowe, doctor slaaa, lisu, n.k
mtu anayejilinganisha na chadema ni sawa sawa na kujilisha upepo
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.
Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.
Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.
Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.
picha basi mchezo unoge
Ndiyo Chademakwanza nakuona uko na Mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado Chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .
imetulia sana
ndiyo chademakwanza nakuona uko na mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .
Kamanda Lunyungu huu ndio mkutano unaoendelea hapa na wananchi wana hamasa ya Mabadiliko chadema kila kukicha ndio nguvu inaongezeka ndio maana tunasema nimpango wa MunguNdiyo Chademakwanza nakuona uko na Mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado Chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .