Mbunge wa ubungo John Mnyika amewakomba wana CCM 20 wengiwao wakiwa ni vijana na kuwaingiza CHADEMA, haya yamejiri ktk mkutano wa hadhara ulio fanyika Kimara mtaa wa Saranga. wanachama wapya wamekabidhiwa kadi zao na katbu jimbo la Ubungo. Mara baada ya Mnyika kumaliza kuhutubia, inapendeza sana kama kila tukifanya mikutano na mbunge wa Ubungo wananchi wanatuunga mkono alisema katbu wa jimbo ndugu Ally Makwilo.