Mnyika anatumia gari aina ya Vitz

Mbogo Junior

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
257
Reaction score
72
Jamani mfano wa kuigwa hata serikalini. Matumizi ya mafuta na gharama za uendeshaji ni ndogo.
 
lakini c gari nzuri kiusalama, ni nyepesi sana inafaa kwa misele ya hapa na pale tu! kwa harakati za majukumu ya ubunge haifai kabisa
tusiangalie fuel consumption tu, tuangalie idara zote
 
Anawezaje kumudu majukumu yake kwa kutumia gari aina hiyo ambayo haiwezi hata kupita barabara za msakuzi ? Nadhani kwa dhamana aliyonayo, na kwa usalama ni vema kutumia Land Rover S/W, Nissan etc ambazo pia ni economical.
 
Anayo gari nyingine ya kazi pickup ambayo inaweza pita barabara ya msakuzi hadi mpiji majoe!! Mkuu ulikua wapi? Mbona anayo siku nyingi sana au haujaona alienda nayo ikulu walivyompelekea j.k rasimu ya katiba!
 
QUOTE=Goodrich;5167529]Anawezaje kumudu majukumu yake kwa kutumia gari aina hiyo ambayo haiwezi hata kupita barabara za msakuzi ? Nadhani kwa dhamana aliyonayo, na kwa usalama ni vema kutumia Land Rover S/W, Nissan etc ambazo pia ni economical.[/QUOTE]

Yan mbunge mzima anatumia Vitz??! Shame on him.
 
Twende na hali halisi njia zetu nyingi bila 4W drive hupiti kirahisi na mkopo wa kuwa na gari kama hilo alipewa bungeni.
 
lakini c gari nzuri kiusalama, ni nyepesi sana inafaa kwa misele ya hapa na pale tu! kwa harakati za majukumu ya ubunge haifai kabisa
tusiangalie fuel consumption tu, tuangalie idara zote
Kwa mbunge kama Mnyika inamfaa sana maana anaweza kuwafikia wananchi wake bila shida.
 
QUOTE=Goodrich;5167529]Anawezaje kumudu majukumu yake kwa kutumia gari aina hiyo ambayo haiwezi hata kupita barabara za msakuzi ? Nadhani kwa dhamana aliyonayo, na kwa usalama ni vema kutumia Land Rover S/W, Nissan etc ambazo pia ni economical.

Yan mbunge mzima anatumia Vitz??! Shame on him.[/QUOTE]
Si lazima mbunge aende na gari kila sehemu,kuna sehemu nyingine hata hiyo gari haipiti na watu hutembea kwa mguu hivyo mbunge kama mwakilishi wa wananchi akifanya hivyo ni jambo jema pia
 
Twende na hali halisi njia zetu nyingi bila 4W drive hupiti kirahisi na mkopo wa kuwa na gari kama hilo alipewa bungeni.

Kwani umeambiwa akitaka kwenda mavurunza anaenda na vitz? Vitz ni kwa ajili ya mizunguko mingi ya town kama huko kwenye rough roads hatumii hyo vitz.
 
Acheni mambo ya ajabu mimi nina vits naenda nayo mpaka old Moshi mlima mkali na barabara mbaya na ninafika jua liwake mvua inyeshe! ajabu yake nini?:bowl:
 
kwa sehemu kubwa ya dar vitz inaweza lakini huku kwetu ah wapi akafai kabisa. nilimuona nako dodoma pale kwenye kufunga mashindano ya shimisemita. ila hakafai huku kwetu kwa barabara zetu za huku miaka mitano atatumia vitz zaidi ya tano
 
Kama unafanya kazi zako sawa sawa, ulinzi wa aina gani unaohitajika? Unaowahudumia ndio watakao kulinda.
 
lakini c gari nzuri kiusalama, ni nyepesi sana inafaa kwa misele ya hapa na pale tu! kwa harakati za majukumu ya ubunge haifai kabisa
tusiangalie fuel consumption tu, tuangalie idara zote
upo sahihi sana, kama marehemu chacha wangwe angekuwa amepanda gari tofauti na Toyota corolla limited labda hadithi ingekuwaa tofauti.
 
Mkuu, Wewe unayo sababu yako na siyo hilo gari.

mbona Zungu anatumia Pajero Old?? wapo Wabunge wanatumia Bodaboda mbona uwasei???usipende saaana mpka unakua akikli Mgando pole
 
angalia ni mbunge wa wapi?jimboni kwake barabara zinaruhusu,aende nacho mahenge huko uone kama hakijarudishwa na scania kikiwa kimebebwa!hiyo sio gar ya kazi kikipiga rout ndef kinaweza hata kuripuka so usiangalie mambo kiushabiki tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…