Mnyika amuhofia Ng'hily, sasa afanya vituko

Ng'hily ndo jembe la ukwel...Mnyika this time ataangalia bunge kwenye Tv
 
"Japo tunaomboleza lakini wacha nicheke kidogo...Nimeitwa Manispaa Kinondoni, Mnyika kaniwekea pingamizi eti picha iliyoko kwenye karatasi ya kupigia kura siyo yangu.

Nimecheka mpaka nimekaa chini. Msimamizi wa uchaguzi kaniambia wamezungumza na mwanasheria wao kawajibu kuwa kwanza muda wa pingamizi umeisha so hawata shughulika nalo. Bado nacheka, eti kisa picha ya bango nimevaa miwani na picha ya karasi ya kura sijavaa miwani so wanasema sio mimi...Dah! Wacha niendelee na operations zangu. Kibamba ni yetu."
View attachment 297871

Chanzo ni mgombea ubunge wa Kibamba.

Dickson Ng'hily

Unamchekea nani, tunataka mabadiliko!!!
 
Huyu katokea wapi tena? Kibamba tayari wana mbunge anaitwa John Mnyika.
 
Uyu anacheka mpaka anakaa chini badala ya Ku reason why !! Kwani uyu ni mpambe wa mgombea yupi?maana kibamba kuna mmama wa ccm ndio anataka apambane na mwanaume anayeitwa John Mnyika.
 
"Japo tunaomboleza lakini wacha nicheke kidogo...Nimeitwa Manispaa Kinondoni, Mnyika kaniwekea pingamizi eti picha iliyoko kwenye karatasi ya kupigia kura siyo yangu.

Nimecheka mpaka nimekaa chini. Msimamizi wa uchaguzi kaniambia wamezungumza na mwanasheria wao kawajibu kuwa kwanza muda wa pingamizi umeisha so hawata shughulika nalo. Bado nacheka, eti kisa picha ya bango nimevaa miwani na picha ya karasi ya kura sijavaa miwani so wanasema sio mimi...Dah! Wacha niendelee na operations zangu. Kibamba ni yetu."
View attachment 297871

Chanzo ni mgombea ubunge wa Kibamba.

Dickson Ng'hily

Huwezi kufikiri kama mnyika angeweza kufilisika kiasi hiki!
 
pole yenu nyie nyote mliompinga mnyika. yuko ndani ya buunge
 
Huwezi kufikiri kama mnyika angeweza kufilisika kiasi hiki!
Baada ya huu ushabiki maandazi wako walikulipa bei gani ? Hivi huyu dickson ndio wa kumtisha mnyika ? Huyo aliyeleta huu uzi rangi motto ni mchumia tumbo anayefahamika humu na vithread vyake .
 
bado anacheka tu uyo mgombea wenu mwambie mnyika anaapishwa uko dodoma
 
Amecheka mpaka amekalishwa chini...endelea kucheka mkuu...panda basi uje mpaka Dodoma na njiani uwe unacheka mpaka siku mnyika anaapishwa
 
"Japo tunaomboleza lakini wacha nicheke kidogo...Nimeitwa Manispaa Kinondoni, Mnyika kaniwekea pingamizi eti picha iliyoko kwenye karatasi ya kupigia kura siyo yangu.

Nimecheka mpaka nimekaa chini. Msimamizi wa uchaguzi kaniambia wamezungumza na mwanasheria wao kawajibu kuwa kwanza muda wa pingamizi umeisha so hawata shughulika nalo. Bado nacheka, eti kisa picha ya bango nimevaa miwani na picha ya karasi ya kura sijavaa miwani so wanasema sio mimi...Dah! Wacha niendelee na operations zangu. Kibamba ni yetu."
View attachment 297871

Chanzo ni mgombea ubunge wa Kibamba.

Dickson Ng'hily

Bado unacheka au:what:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom