Mnyika amuhofia Ng'hily, sasa afanya vituko

Mnyika amuhofia Ng'hily, sasa afanya vituko

Kwa hiyo huyu dogo anapimana nguvu na Mnyika?
Halafu mbona anatumia jina la Mnyika kutafutia kura?
Adui yake kwani ni Mnyika au CCM?
Mbona wapinzani wa nchi hii akili zao kama punje ya haradali?
Kulikoni?

Baba yako ana HASARA kubwa sana.
 
"Japo tunaomboleza lakini wacha nicheke kidogo...Nimeitwa Manispaa Kinondoni, Mnyika kaniwekea pingamizi eti picha iliyoko kwenye karatasi ya kupigia kura siyo yangu.

Nimecheka mpaka nimekaa chini. Msimamizi wa uchaguzi kaniambia wamezungumza na mwanasheria wao kawajibu kuwa kwanza muda wa pingamizi umeisha so hawata shughulika nalo. Bado nacheka, eti kisa picha ya bango nimevaa miwani na picha ya karasi ya kura sijavaa miwani so wanasema sio mimi...Dah! Wacha niendelee na operations zangu. Kibamba ni yetu."
View attachment 297871

Chanzo ni mgombea ubunge wa Kibamba.

Dickson Ng'hily
Hivi dickson ndiyo wa kupambana na mnyika jamani ?
 
Hahaha!! Dah na mimi nimecheka kweli!! Yaani mnyika akuhofie wewe!! Unajua kweli kutafuta kiki za kijinga. Nenda bongo movies huko kwa malofa wenzako!
 
Nilikua simjui Ngilly, Na nisingefungua kama sikuona Jina la Mnyika, Nakupongeza ume achieve ulichokitaka

serious hata mm nisingemjua probably forever mpaka alipojihusisha na mnyika MOD please tua huu upuuz unatujazia server
 
mnyika ; akishindwa mwambie aelekee kibaha , mwishowe atajikuta namanga
 
Mkuu Mimi nakaa katika jimbo LA kibamba ila Leo ndo najua wewe ndo mgombea.vipi mikutano unafanyia wapi au unafanyia wapi nije nikasikilize Sera.

Hahahahahahahhaha tanzania ina maajab sana wallah
 
"Japo tunaomboleza lakini wacha nicheke kidogo...Nimeitwa Manispaa Kinondoni, Mnyika kaniwekea pingamizi eti picha iliyoko kwenye karatasi ya kupigia kura siyo yangu.

Nimecheka mpaka nimekaa chini. Msimamizi wa uchaguzi kaniambia wamezungumza na mwanasheria wao kawajibu kuwa kwanza muda wa pingamizi umeisha so hawata shughulika nalo. Bado nacheka, eti kisa picha ya bango nimevaa miwani na picha ya karasi ya kura sijavaa miwani so wanasema sio mimi...Dah! Wacha niendelee na operations zangu. Kibamba ni yetu."
View attachment 297871

Chanzo ni mgombea ubunge wa Kibamba.

Dickson Ng'hily

Hamna jipya nyinyi. Nyinyi ni genge la wahuni & matapeli tu. Hivi huu ni muda wa pingamizi kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom