Mnyika amuhofia Ng'hily, sasa afanya vituko

Mnyika amuhofia Ng'hily, sasa afanya vituko

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
"Japo tunaomboleza lakini wacha nicheke kidogo...Nimeitwa Manispaa Kinondoni, Mnyika kaniwekea pingamizi eti picha iliyoko kwenye karatasi ya kupigia kura siyo yangu.

Nimecheka mpaka nimekaa chini. Msimamizi wa uchaguzi kaniambia wamezungumza na mwanasheria wao kawajibu kuwa kwanza muda wa pingamizi umeisha so hawata shughulika nalo. Bado nacheka, eti kisa picha ya bango nimevaa miwani na picha ya karasi ya kura sijavaa miwani so wanasema sio mimi...Dah! Wacha niendelee na operations zangu. Kibamba ni yetu."
DIK.jpg

Chanzo ni mgombea ubunge wa Kibamba.

Dickson Ng'hily
 
Kwa hiyo huyu dogo anapimana nguvu na Mnyika?
Halafu mbona anatumia jina la Mnyika kutafutia kura?
Adui yake kwani ni Mnyika au CCM?
Mbona wapinzani wa nchi hii akili zao kama punje ya haradali?
Kulikoni?
 
Mkuu Mimi nakaa katika jimbo LA kibamba ila Leo ndo najua wewe ndo mgombea.vipi mikutano unafanyia wapi au unafanyia wapi nije nikasikilize Sera.
 
wananchi wa kibamba hawamfamu kwahiyo anataka wamfahamu. co vibaya kujinadi kwa jina la mnyika.
 
Ukitaka kupata umaarufu hapa jf mseme mnyika, lema, lisu, kafulila, mbowe, zito, wenje, mdee, sugu na msigwa
 
Mkuu Mimi nakaa katika jimbo LA kibamba ila Leo ndo najua wewe ndo mgombea.vipi mikutano unafanyia wapi au unafanyia wapi nije nikasikilize Sera.



Umesema kweli. Mimi ninamsikia Mnyika na Fenela
 
Umesema kweli. Mimi ninamsikia Mnyika na Fenela

mnyika napita mtaa kwa mtaa .Hyuy jamaa sijawahi kumwona kabisa.Kura zinaombwa kwa wananchi mtaani na sio huku kwenye majukwaa ya siasa jamiiforums.
 
Unatafuta kiki wewe kibamba ni chadema au ccm ndiyo watakaochua jimbo
 
Jana nilikuwa Kigoma mjini kule Jamaa yenu inabdi kaze buti la sivyo inakula kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom