Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Kifo chako uwa kinakuwa miguu juu kisha habari yako inakuwa imekwisha! Kamanda Mnyika afundishwi uoga.Hivi Unafikiri adhabu hatakayopewa hata ikidhibitika kuwa kasema uongo(Kitu ambacho siyo kweli) itakuwa kuwa kumvua ubunge?Laaasha!
Mnyika yupo ok kama ni kuchanganyikiwa nafikiri mleta uzi ndiyo anaelekea huko
Kifo chako uwa kinakuwa miguu juu kisha habari yako inakuwa imekwisha! Kamanda Mnyika afundishwi uoga.Hivi Unafikiri adhabu hatakayopewa hata ikidhibitika kuwa kasema uongo(Kitu ambacho siyo kweli) itakuwa kuwa kumvua ubunge?Laaasha!
Mnyika yupo ok kama ni kuchanganyikiwa nafikiri mleta uzi ndiyo anaelekea huko
Acha kuchemka wewe,, asseme nini sasa wakati yalishasemwa na wakuu walio juu yake na hata magazetini na vyombo vingine vya habari yalikuwepo. Sasa wewe unataka Nchemba aseme kama nani? acha uvivu wa kufikiri wewe!!Kama Chemba aliingia baada ya wizi kufanyika, nae hakusema lolote baada ya kugundua wizi huo(lazima pengo aliliona) basi nae ni mtuhumiwa mmojawapo!! Hivo kinachohitajika ni ushahudi wa kuibwa kwa pesa za EPA na Chemba kufanya kazi BOT!!‏
Rahisi sana kwa Mnyika!! ‎
Mnyika ni mtu mzima anae jitambua na ww sijui huruma zako kwake umezitoa wapi na sidhani kama alikuomba Masada.
Unadhani mpaka anazungumza alikua ajitambui! ? Alijua ataambiwa adhibitishe ndo mana akaamua aseme ili akidhibitisha tuzidi kuwafahamu wanafiki wetu .
ACHA KUKURUPUKA WEWE
Alikunywa viroba?? duh! jamaa kibokoAlikuwa kaniaje cha Arusha mixer kiroba si ndio akajikuta anamu attack NCHEMBA kumbe bana siyo yeye ni vitajwa hapo juu akaona auze nyago ki bongofleva bongofleva
Hivi ccm na makampuni waliyounda wakishirikiana na mafisadi wengine kukwapua mabilioni ya EPA nao waliingia BOT mwaka gani?Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho......
Pambaf afya yake wewe ni daktari dhaifu mkubwa wewe unataka avimbiane Kama wabunge wa ccm ndio useme Ana afya nzuri mdini mkubwa weweHilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.
Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.
tafuta majibu uje utuambie hapaHivi ccm na makampuni waliyounda wakishirikiana na mafisadi wengine kukwapua mabilioni ya EPA nao waliingia BOT mwaka gani?
punguza jazba washwawashwaPambaf afya yake wewe ni daktari dhaifu mkubwa wewe unataka avimbiane Kama wabunge wa ccm ndio useme Ana afya nzuri mdini mkubwa wewe
Muchemba amewahi changia nini tangu aingie bungeni zaidi ya kujikomba kwa CCM ,msomi mzima kageuka zezetaMnyika anashangilia baada ya kushinda kesi, hachangii mijadala ya bunge.
Mnywa viroba ni huyo bongolala muchemba mwiba jina la watu hureeeeeeeeAlikuwa kaniaje cha Arusha mixer kiroba si ndio akajikuta anamu attack NCHEMBA kumbe bana siyo yeye ni vitajwa hapo juu akaona auze nyago ki bongofleva bongofleva
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Usikurupuke kuandika mambo bila kufikiri vyema .Kama una uhakika kuwa walioingia kazini mwaka 2006/2007 hawakuhusika na uwizi wa fedha za EPA una haki ya kuandika hayo unayosema .Unajua fedha za EPA zilianza kuibiwa lini na kukoma lini ?Unauhakika gani kuwa fedha za EPA kuwa ziliibiwa zote mpaka kufikia 2005,uandike kuwa aliyeingia 2006 hakuzikuta?,Unajua nini maana ya Fehda za EPA? Unauhakika gani kuwa a/c ya fedha hizo ilifungwa kufikia 2005 kwa hiyo walioingia 2006 hawakuweza kutoa ama kuweka fedha kwenye a/c hiyo?
Nilichogundua ni kwamba wengi mliomsikia Mwiguli akijijitetea hakuwa mkijua nini maana ya EPA.Jua nini maana ya EPA ndio uanze kumuhukumu Mnyika kwamba alikurupuka ,ila kama hujui uliza na usubiri Mnyika atakapotoa utetezi wake ndio tumuhukumu kuwa J. Mnyika ni mtu wa kukurupuka.
Jionee huruma wewe mwenyewe kwa kujaribu kupandisha maji kilimani kwa gunia
uwa= Huwa??
afundishwi= Hafundishwi??
hatakayopewa= Atakayopewa?
ikidhibitika= Ikithibitika?
Nadhani ni wazi kwamba aliyechanganyikiwa ni yupi hapa...........rudi daras la kwanza kajifunze kuandika vizuri chundu wee
Wewe unajuaje kama hana ushahidi?na hata kama atawaletea huo ushahidi mtaufanyia kazi?je ule ushahidi wa lema dhidi ya Pinda mliufanyia kazi?nawashauri magamba mhache porojo kwani uwezo wenu ni mdogo sana na hasa katika utendaji!ohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.
Huyu jamaa hana adabu ,tunaweza kusema ni mtovu wa nidhamu ,tokea siku ile alivyomwita Raisi kikwete dhaifu na wengine wazembe na juzi akawaita watu machizi nilimuonea huruma sana maana amekosa uadilifu na hana ujuzi wa kuzungumza kwa ufupi hana tofauti na vijana wa vijiweni au wazee wa migahawani.
Vipi utamwita Raisi wa nchi dhaifu tena kwa jina na wengine uwaite wazembe au machizi ndani ya kikao cha bunge ,yaani huyu jamaa anavyosema ni sawa na kelele za jibwa koko tena yule asie na kwao ,anabweka tu utafikiri amekoswakoswa na jiwe.
Kuna haja ya wenziwe kumshauri na asifikirie watu wote wanamtakia wema hata wenziwe wanaweza kuwa na choyo nae na kumwacha akizama katika ujinga.