MENDE JEURI
Senior Member
- Apr 6, 2011
- 198
- 29
Mimi kwa mara kadhaa sasa nawaandikia humu JF kuwa Mnyika hayuko sawa na ana matatizo (amma "psychiatric" amma "psychological"), namsikitikia kijana huyu lakini nawasikitikia zaidi watu wazima walio karibu na kijana huyu kuwa hawajatanabahi mpaka leo hali hiyo ya Mnyika.
Nawasihi wamtafutie ufumbuzi haraka sana kwani anaweza kufanya mambo ya ajabu amma pale bungeni amma nje ya bunge.
Nawasilisha kwa mara ya tatu maoni haya.

Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Mwiguru Mchemba muuaji anayesemekana kwa kulipa wauuaji wa wanachadema Igunga na Arumeru ndio ambaye amechanganyikiwa damu ya wale alioagiza wauawe inamfuata he is a lost case leo tupo hapa kama mumelipwa na mwiguru mchemba mwambie tumewakutaHuyu mnyika nadhani ana stress au amepagawa na mambo.Anakurupuka kurupuka tu,alitakiwa awe na ushahidi kwanza ooohooo!shauri yake.
Mimi nadhani Mwigulu Mchemba ndio mwenye tatizo la kisaikolojia manake nasikia akiwa mtoto alipenda kupumuliwa na wenzake huku akifurahia kwa maneno ya mwana JF aliyetuhabarisha mtu wa aina hiyo lazima awe mwehu ukimwona uso wake unaona anger na trauma aliyonayo anaimwagia sasa kwa Mnyika
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Hakuna mtu mzima mwenye akili timamu anayeweza kuji "identify" na wewe mtu usietumia hata chembe ya akili zaidi ya fitina na majungu tu!Hilo ni tatizo lako, mimi naongelea hili tatizo alilonalo Mnyika kabla hajaanza kupashana na Nchemba.
Namuonea huruma huyu kijana na nnatumai watu wazima wenzangu wanaomzunguka (walio karibu nae) wananisoma pia na watafata ushauri japo kwa kumtazama mwenendo wake kwa umakini (ndani na nje ya bunge) wala sileti hizi mada kuhusu Mnyika kwa ajili ya kujibizana kwake Bungeni au hoja zake, la hasha, mimi naongelea afya yake.