Mnyika ahamasisha kupitia bunge Maandamano kwenda kwa Magufuli madai ya fidia Mloganzila

Paparazi Muwazi

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
310
79
Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
 
Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!

Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
 
Unapoboma nyumba za RAIA unategemea wakaishi wapi??Au kwa sababu hawakuhusu??Unajua maana ya kutokuwa na mahali pa kuishi??
 
Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!

Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
mtu kama huyu ni great thinker,mpigeni chini anaongea vitu gani
 
Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
si angehamasisha maandamano ya kudai kupeleka ushahidi wa ufisadi wa Lowasa mahakamani!
 
Wananchi wa jimbo la Kibamba tuna matatizo kibao,yeye anapiga kelele kujua lini Serikali itawalipa wananchi wa mloganzila.Anatafuta kiki tu.
 
Maskini hujui ulisemalo. Kwani hujui tabu ambazo wananchi walizipata kwa kupisha ardhi ile. Kuna watu hadi sasa wanalala nje

Kweli watanzania itachukua muda Mrefu kuendelea kwani tatizo LA mwingine halikuhusu
 
Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!

Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
Wananchi waisamehe serikali? Are you for real???
 
Mtoto wako akienda hospitali, sokoni anadaiwa malipo tu hata kama umetoa ardhi yako bure kwa serikali.
 
Cheap politics- nilifikiri kuwa serikali imegoma kuwa haitawalipa hao wananchi!

Mnyika angejitahidi kuona manufaa ya uwekezaji ule kuliko kuwatumia wananchi kwa manufaa yake, nilitegemea Mh Mnyika angekuwa mstari wa mbele ikiwezekana kuwashawishi wanannchi wake waisamehe serikali kwa ardhi ile ambayo imetumika kwa manufaa ya wananchi wenzao wa taifa lao badala ya kuwatumia kwa jambo ambalo sijaona tatizo la msingi.
Maskini huyu nae hajui hata anaongea nini hapo alipo
 
Nimemuelimisha Mwenzetu kwny post no.3 aliedhani Ardhi ni Mali yake. Sijazungumzia Masuala ya Fidia Ila Kama unapenda kuzungumzia Wewe Zungumzia!
Haihitaji mimi kuzungumzia mambo ya fidia, thread yenyewe maudhui yake ndivyo yalivyo. Hebu soma title labda utarudi kwenye mstari
 
Ndio sababu sikuchangia direct, nili quote comment no. 3 kwa sababu Maalumu!

Siku nyingine ukiona Mtu ameamua ku quote comment ya Mtu Mwingine tambua kuwa lengo lake ni kujikita kwny hiyo Comment na si vinginevyo na ndio Matumizi halisi ya quotations otherwise angechangia direct!

Kwny thread huwa yanaibuka mambo mbalimbali mfano kukosea namna ya kuandika au kukosea dhana Fulani na si Dhambi kujikita kwny kumrekebisha Mchangiaji mwenzako bila ya kuchangia direct Mada husika!
 
Back
Top Bottom