fanya utafiti kwa wakazi wa ubungo wakwambie hali ya upatikanaji wa maji wa ubungo kwa sasa na awali walipokua wakina keenja ikoje? yote haya ni juhudi zake na bado anaendelea kuisukuma serikali hadi tatizo la maji liwe limekwisha kabisa na uzuri wake kwa mwaka huu imetengwa zaidi 10b kwa ajili ya ujenzi wa mabwawa ya kidunda na mpera kwa ajili ya wakazi wa ubungo.Maji ya mchina amechemsha kuyapigania?
mbona hayakujengwa wakati wa keenja au amiri jeshi mkuu alikua anasubili hadi mnyika awe mbunge ndio ajenge?Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
kaka mwnmke hapati mimba bila kupndwa na mme,vivyo hivyo kwa gvmnt ya magamba....keenja alishndwa...mnyka kidme cha seedsmbona hayakujengwa wakati wa keenja au amiri jeshi mkuu alikua anasubili hadi mnyika awe mbunge ndio ajenge?
hilo haina shaka bado analisukuma hadi wajenge kwa kiwango cha lami kwa sasa wametenga kiasi cha 10b ambayo ni sawa na km 10 hadi 15 kwa ujenzi wa kitanzania wakati barabara zote za pembezoni kwa jimbo la ubungo zipo km 96 so inahitaji almost kiasi cha 100b. ndicho kwa sasa anapigania.Viva chadema viva mnyika nasubiri kwa hamu ujenzi wa barabara za mbezi kimara to mbezi beach kupitia gopa na ile ya mbezi kimara tu airport kupita kurasini kwa kiwango cha lami ninaamini zitasaidia kwa wingi kupunguza foleni zisizo za lazima
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
Kila jambo na wakati wake nchi yetu ni kubwa sanambona hayakujengwa wakati wa keenja au amiri jeshi mkuu alikua anasubili hadi mnyika awe mbunge ndio ajenge?
Huyo amir jeshi wako mpaka tumtie bakora ndo anafanya...na bado atakula nyingi mpaka "ajam....e"Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK
Kila jambo na wakati wake nchi yetu ni kubwa sana
mbona hausemi na rasilimali ni nyingi sana. na kwa zungu, azzan, mtemvu na mwaiposa kuna nini amefanya amina jeshi mkuu.Kila jambo na wakati wake nchi yetu ni kubwa sana
Ujenzi wote wa madaraja umejengwa na serikali sikivu chini Amiri jeshi mkuu wetu JK