Namkumbuka huyu miss aliwahi kuwa pale IFM alikuwa benett na jamaa mmoja pale IFM aliyekuwa akionekana dhahiri kwamba ni shoga....ingawa kijana yule kwa taarifa nilizonazo ni kwamba alishatangulia mbele za haki...
Nilimpenda sana Aminata enzi za unyange wake,alikuwa mzuri sana,Aminata Keita mnyange wetu alinimwaga na kukimbilia mabesela ya hatari tena mbalimbali Aminata.
Huyu Binti alikuwa hajatulia mpaka kwa yule tapeli wa Ki angola alikuwa hakosekani, naye kijana Kizogunz kaubeba sana msalaba wa chuma huu. ameacha kuvuta fegi huyu mnyange