Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,838
Acha kula nguruwe wewe...Unasemaaaa?
hahahahahahah!!!! duuuuuhhhMTI wenye matunda ndo HUPIGWA MAWE
Pole sana mkuu ila hakuna namna... mdudu ataendelea kutafunwa kama kawaida nnakushauri fanya uonje walau finyango moja tu mmmmh tamu hiyooo!!!Acha kula nguruwe wewe...
hahhaa hii ni kweli kabisaMTI wenye matunda ndo HUPIGWA MAWE
Namshukuru Mungu kwa kuumba mnyama mwenye ladha maridhawa kama nguruwe. Mungu ashukuriwe kwa zawadi hii mwanana ya kitimotoView attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
Na Mimi ninafurahi Watu wengi wakila huyo Mnyama nipate kuwatibia Maradhi yanayotokana na huyu Mnyama waTaifa Aka Kitomoto Aka Mbuzi wa Kikatoliki.Siwezi acha kula hiyo kitu, mpaka daktari anikataze
mbona mambo yakutisha ni mengi lakini bado tunayapenda....then kuna kitu chenye sura mbaya kama PUNANI.....mbona watu wanaipenda hadi wanafia humo...dah!,umeniharibia usingizi wangu kabisa,sijui km nitaweza kufunga macho tena,dude lina sura ya kutisha!
unajikosesha ladha adimu dunianiYaani huyu mnyama sijui hata nyama yake ikoje, sifikiri hata kumkaribia tu.