nimeamini mmetoka mbali mpaka timu za kushangilia ??
ha ha ha ha
Mie sijakusoma huku uliposema wewe ni kandambili. Ushahidi please!!!
Mkuu umeua
Honey Faith aibu aona yeye
nimeamini mmetoka mbali mpaka timu za kushangilia ??
ha ha ha ha
Mie sina cha kusema
Nishajibu mimi, jibu ni moja tu
Sitaki uniquote kabisaaaaa
Sijakuquote mimi
Kuanzia leo tusijuane
Nyumbani utakuja kwa dada yako au na yeye humjui??
Sitaki uniquote kabisaaaaa
Tutakuna home kwetu au barabarani.Hata kwako sitaki kuja
Atiiiii??