Mnyama gani huyu?

Mnyama gani huyu?

Aise alivyotuna sasa hana tofauti na baadhi ya wabunge wetu waliokuza matumbo
 
Wanamlaje huyo wakati huwa ana sumu??
Wanamchemsha mzimzmzima kisha wanamwaga maji kama mara 3 hivi ndipo wana mchemsha aive.Akiisha iva wanatoa nyama wana kula, ngozi inatwangwa pamoja na milenda wanaita chiwandagulo ina anikwa Juani ikikauka wana kata kadogoo wana changanya na mboga nyingine. Mkuu. Wagogo wanakula hilo JURA
 
Tulikua tunamuita kimbofa. Na mtu akiwa bonge tunamuita kimbofa sababu ya huyo chura.
 
Wanamchemsha mzimzmzima kisha wanamwaga maji kama mara 3 hivi ndipo wana mchemsha aive.Akiisha iva wanatoa nyama wana kula, ngozi inatwangwa pamoja na milenda wanaita chiwandagulo ina anikwa Juani ikikauka wana kata kadogoo wana changanya na mboga nyingine. Mkuu. Wagogo wanakula hilo JURA
Mhhhh!!!,Siku nikienda kwa Wagogo Sitakula vyakula vyao,Mimi nilijua ni Wachina tu ndio wanakula vyura Kumbe hadi Wagogo duh!!!.
 
Back
Top Bottom