Mnyama afa kiume

Mnyama afa kiume

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,724
Reaction score
2,262
Bahati mbaya inazidi kutuandama wana msimbazi leo kwa bahati mbaya au ni mkosi wa kula rambirambi ya mafisango,.

Leo tena mnyama kachinjwa bila huruma na wakenya alipokua akisherekea kile anachoita simba day kang'utwa 3-1. Pole sana mnyama
 
kufa ni kufa tu hakuna kufa kiume wala kike, pelekeni rambirambi ya mafisango
 
Kafa kiume penart3 hazigawiwi skuiz, daa nakuombea upone mnyama bila we mi sina raha
 
Back
Top Bottom