Mnyaa nae Kinyaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyaa nae Kinyaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapotolo, Feb 10, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hivi nawauliza CUF hawawezi kuchangia bungeni bila kuwasema vibaya CHADEMA?
  Huyu Mnyaa, mbunge wa Mkanyageni kupitia CUF badala ya kuchangia hotuba ya rais yeye anakazania kuwasema chadema....
  .....ooh sio chama cha kitaifa eti kwa sababu hawana mbunge pemba,
  .....ooh wanavuruga amani,
  .....ooh wanataka kuvunja muungano.
  CUF hizo najua ni chuki binafsi baada ya chama chenu kupoteza popularity bara.
  Mnyaa unatia kinyaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 2. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cuf=ccm
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wapuuzi hao!
   
 5. A

  Awo JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Wao ni wa kitaifa kwa sababu wana mbunge Mara??????? Au utaifa kwao ni Pemba tu?
   
 6. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimemsikiliza wakati anaanza kuchangia nikaona intro yake tu imejaa unafiki na lugha ya kujipendekeza nikaamua kumpotezea. Mnyaa siyo yule tena!!!!!
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  wamefilisika kisiasa hao
   
 8. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Port vipi upo? Unaona siasa zetu? Jiandae maana inaonekana mbele kugumu huko!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naangalia kwa makini sana! Nadhani ile dhana ya Kidumu chama cha.......Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti zinatuelekeza huku. Hakuna maslahi ya kitaifa ni mipasho na vijembe. Hili taifa limelaaaniwa nina wasi wasi. Umeme utakatika sasa hivi lol
   
 10. s

  smz JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa hizi CDM sasa CV yake inazidi kupaa. Hawa wanaogopa vivuli vyao. Hawana cha kuwaambia wananchi, na wana uhakika kabisa wananchi wote wamewachoka. Hilo liko wazi.

  Achana nao 2015 siyo mbali ingawa wao wanaona ni mbali sana.

  Mbowe: kaza msuli Kamanda
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..sasa mbona anakuwa amevitukana vyama vingi tu huku Tanganyika?

  ..vipi kuhusu UDP ambacho kimejikita zaidi ktk jimbo moja tu Bariadi?

  NB:

  ..ninavyoelewa mimi Chadema wana mbunge wa viti maalum kutoka Pemba.
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Tatizo lao na CCM moja. Teke alilopigwa CCM na CDM, wakati yuko njiani anaporomoka, akakutana na CUF kazubaa, kam-bamba, sasa haooo, wanashuka wote.
   
 13. n

  ngoko JF-Expert Member

  #13
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hajui analolisema , wanaotaka kuvunja muungano ni wale waliobadili katiba ya Zenji na kusema Zanzibar ni Nchi wakaonyesha na mipaka yake maana walichukizwa na jibu la Pinda kwenye bunge lililopita (2005-20010) . Mara mafuta ni ya znz wabara wasituingilie .... , sasa mwenye kuuchukia muungano ni nani ? Inaonesha Mhe. Mnyaa ni Mnyaa kweli anazungumza ili wampigie makofi ,.,,,,
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Chadema mnapoteza umarufu kwa maana mnajadili watu badala ya kufanya siasa ,yaani mupo mupo tu mnapiga makitaimu ,wakati watu wanaenda mchakamchaka.
   
 15. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #15
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  haya mwingine huyo tena anaisuta chadema!! hata sijui anaitwa nani naona anaongea kwa kupanic
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mkuu mlikuwa darasa moja na Maggid Mjengwa na Tambwe Hizza? Fikra zenu za fanana
   
 17. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #17
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  intelijensia yako is not intelligent
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu unategemea kuna siku caji kuiongelea. chama tawala kitaongelea vizuri chama cha upinzani? nani kasema, hii hoja ya kutokuwa na mbunge visiwani haisimami wala hatuhitaji kuiongelea!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Feb 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yani mpaka leo wabara tumeshindwa kujua zenji kuna mabugabuga tu?
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huu ni msamiati mpya!
   
Loading...