Mnyaa: Kasi ya mwema povu la soda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyaa: Kasi ya mwema povu la soda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Aug 15, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  MNYAA: KASI YA MWEMA POVU LA SODA
  Mbunge wa Mkanyageni (CUF), Habib Mohamed Mnyaa, alisema kasi aliyoingia nayo Mwema siyo kama ilivyo hivi sasa na kuifananisha na povu la soda.
  Alisema ili kutii sheria ni lazima sheria zote za kutumia mabavu zibadilishwe kwanza na baada ya hapo ndipo serikali ije na kampeni hiyo kitaifa kama vile wanavyofanya katika kupambana na gonjwa la Ukimwi.
   
 2. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anasemaje kuhusu posho za maaskari, badala ya kupewa 150000 wao wanapewa 100000.....? au hawakumuuliza.

  Naibu waziri anasema zinatoka 150000, RPC anasema 100000. nani mkweli..?
   
Loading...