Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Kumpambanisha Mnyaa na Lissu ni sawa na kupambanisha BAJAJ na VOGUENikili kuwa nimejiridhisha kuwa chama cha wananchi CUF kuwa ni Mke halali wa tena kesha zaa!
Hili limejidhihirisha leo ktk mdahalo wa star tv pale Moven pick huku Lisu akijibu hoja kisheria na kikatiba yeye alijibu utadhani ni katibu mwenezi wa ccm!
Yani mara ya kwanza nilidhani ni kiongozi wa ccm mbaka niliposikia mwenyekiti wa mdahalo huo akisema ni mbunge wa cuf.
Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!Nikili kuwa nimejiridhisha kuwa chama cha wananchi CUF kuwa ni Mke halali wa tena kesha zaa!Hili limejidhihirisha leo ktk mdahalo wa star tv pale Moven pick huku Lisu akijibu hoja kisheria na kikatiba yeye alijibu utadhani ni katibu mwenezi wa ccm!Yani mara ya kwanza nilidhani ni kiongozi wa ccm mbaka niliposikia mwenyekiti wa mdahalo huo akisema ni mbunge wa cuf.
Nakusihi siku nyingine ukipinga jambo basi leta ufafanuzi sio kutoa povu tu! Kama unahoja iweke hapa uungwe mkono kwa hoja, huna tofauti na Mnyaa wewe!Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
you are very right. ni upumbavu wa hali ya juu kupinga kila kitu alimradi tu aliyesema humuungi mkono ama humtambui. na haya ndiyo matatizo ya wanachama wa the so called CHAHEMAHivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
CUF upinzani wao ni upi ambao unaweza kutamkwa wazi na hadharani na katibu mkuu wa CUF taifa ukizingatia kuipinga serikali ya CCM kule ZNZ? Ajitokeze mtu na aseme juu ya hili kwamba siku fulani.tarehe fulani na mahali fulani makamu wa rais na katibu mkuu wa CUF TZ ameipinga serikali ya kitaifa juu ya jambo fulani lenye masilahi kitaifa na serikali ya CCM ika-admit na kisha kufuata maelekezo ya CUF ili kulinda na kutetea maslahi ya umma.Nani aseme sasa juu ya hoja hii,acheni unafiki bana,mkubali tayari mmeshaolewa na mkubali mlihamasisha watu nyie CUF kuandamana na hata mme wenu CCM kuamuru vibaraka wake POLICCM kuuwa watu takribani 23 kumbe dili yenu na kitu mlichokuwa mnakitafuta ni katibu mkuu kupewa u-makamu wa raisi tu basi.kama mnabisha tuambieni nini malengo yenu ya kuwa wapinzani?nini mlikiona hakiendi sawa kilichokuwa kinaongozwa na CCM?je LEO kimetimizwa?au je leo CCM imetekeleza yale mliyokuwa mnayapigania?tuache unafiki hapa hakuna kitu cha kuwashawishi watanazania wenye kutafakari mambo.Nauliza tena lengo lenu ilikuwa ni nini?kupata umakamu wa raisi?au kupata kitu gani,na je kipi kimebadilika katika yale mliyokuwa manayapiganaia?Tutaikomboa tu nchi hii pamoja na kuunganisha nguvu zenu na CCM A
Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
Hivi angeiunga mkono chadema angekuwa chadema B? Ujinga huu wa kudhani kwamba wapinzani ni sharti wakubaliane kila kitu na wakosoe kila kitu cha chama tawala ni ujinga mkubwa. Ulitaka Mnyaa akubaliane na upotoshaji wanaoufanya akina Kitila Mkumbo ambao wanajadili hoja kwenye midahalo wakiwa ni viongozi wa chadema na wakizidiwa hoja wanaenda Chuo Kikuu na kutoa statements wakijiita ni viongozi wa UDASA. Unafiki mtupu!
you are very right. Ni upumbavu wa hali ya juu kupinga kila kitu alimradi tu aliyesema humuungi mkono ama humtambui. Na haya ndiyo matatizo ya wanachama wa the so called chahema
Nikili kuwa nimejiridhisha kuwa chama cha wananchi CUF kuwa ni Mke halali wa tena kesha zaa!