Mnisameheee

Napenda hamii forums isingekuwepo mnisameheee

Napenda watu wote wangekuwa wchina mnisameheeeeeee

............…….… mnisameheeeeeeee
natamani kikwete atimize ahadi zake za kampeni, mnisameeeeeee
 
Natamani wote muwe waume zangu! Mnisaheh
 
Natamani kila anayepost hapa angekuwa anaonekana. Mnisamehe
 
Natamani mabomba yote ya maji yangetoa bia, mnisameheeeee...
 
natamani wanaume wote wafe nibaki mi mwenyewe na mademu wote mnisamehee.
 
natamani chausta ishinde arumeru mashariki, mnisamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…