Mnisaidie watalaam wa tiba za wanamichezo

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,558
2,698
wakuu habari zenu! Nimekua nikifanya mazoezi ya viungo pamoja na kukimbia kwa muda mrefu kama miez 8 hv,huwa natoka nakimbia kuanzia mabibo hostel napita ubungo mataa,gate maji,utawala udsm,ardhi univ.,mliman cty afu narud na sam nujoma to ubungo then hostel.Sasa wiki mbili zilizopita nilianza kukimbia kawaida lakin nilipofka gate maji misuli nyuma ya magoti ilinishka vby sana pia goti la mguu wa kushoto likawa kama lime dislocate,nilijaribu kuendlea kukimbia lakn misul ilinishka sana,nikarud natembea,nikapumzka siku 3 nikajaribu kukmbia hali iko ile ile tena sifiki hata land mark hostel,nikajaribu baada ya wiki,tena hali iko ile ile,nikajaribu tena juzi hali iko vle vle,naomba mnisaidie nimejaribu ku2mia dawa za kuchua lakn sipat nafuu,tena hata nikitembea haraka misuli ina tight.Kama kuna doctor humu au yeyote mwenye kunipa ushaur nawaomba au wakuni connect wa matabibu wa timu za michezo naomba
 
Back
Top Bottom