mnh dunia imekwisha

dume zima linakata viuno...lol


he he he hii inayokata mauno ni mtoto wa arusha ni li shogaa jeuriiiiiiiiii bayaaaaaaaaaaa ila kwa sasa kahamia magomeni..nilishawahi kumuona arusha huyo ni mkorofiiii yani ptuuuuuuuuu
 
Huyo ni shoga dhahiri kabisaa...kwanza kavaa skin jeanz,kisha shanga inammeremeta kiunoni,kiatu katia high heels,kisha anakatika kwa kuchuchumaa...mmmh...akitoka hapo anamalizia na kubong'oa...# Balaa.... Hivi ni vitu vya kawaida sana miaka hii,kama nimuendaji mzuri wa njenje pale salender bridge utawakuta teleee..Pale travertine hotel magomeni siku akipiga Mzee Yusuph na jahazi lake utawakuta telee wanashindana na waliozaliwa wanawake kukata mauno..
 
Ama kweli kuna tofauti kati ya mwanaume na mtoto wa kiume........si mnaona chachandu ile jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…