mnh dunia imekwisha

Kwani mwanaume kukata kiume kwa mwanamke ni kosa? Kwani vitandani huwa mnafanya nini kama tutaacha unafiki? Bila viuno kukatika wengi msingezaliwa. Dunia haijaisha bali nyie ndiyo mna tafsiri zenu za kiswahili. Ingekuwa noma kama mwanaume angamkatia viuno mwanaume mwenzake au mwanamke mwanamke mwenzake. Kama ni positive and negative so be it.
 
Duh ila kuna watu wanamoyo yaani kulipumulia jitu kama hili ni soo
 
duia haijaisha wewe ndio umeanza kuona hayo mambo juzi juzi na kutumia internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…