Mngeni katika chit chart

Skp2ole

Senior Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
107
Reaction score
6
Jamani mm ni mgeni katika hili jukwaa la chit chart hebu nifundisheni niazie wapi na niishie wapi na humu kuna raha zipi
 
Karibu CC, huku hakuna kufundishana chochote.
Ila kama una matatizo ya kifedha niandikie barua.

Jamani mm ni mgeni katika hili jukwaa la chit chart hebu nifundisheni niazie wapi na niishie wapi na humu kuna raha zipi
 
Karibu humu jukwaani, lakini baba chochonde usitufanyie ya mzunguMndali na C.T.U
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…