JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Hatimaye mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Emmanuel Papian ametangazwa rasmi kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kiteto
Kutangazwa huko kumekata mnyororo wa ubaguzi, ukabila uliokuwa unaendekezwa Kiteto na jamii ya kifugaji maasai kuamini kuwa hakuna kabila litakaloongoza hapo dhidi yao
Awali jamii hiyo ilidaiwa kula amini ya kuongoza kwa zamu ambapo waliweza kufanya makubaliano ambayo wamasai baadaye walikuja miiko hiyo na ndipo sasa makabila mengine wakaamua kuuangusha utawala huo
Leo Emmanuel Papian anakusudiwa kuchukua fomu ya kuwania Jimbo la Kiteto baada ya jana kupata mapokezi makubwa ya magari na pikipiki akitokea Dar
uchukuaji wa fomu utafanyika mchana huu nitakujuza zaidi