Inasikitisha kwamba kutokana na elimu duni ya uraia, wananchi wengi wanaamini si CCM bali Magufuli ndiye anaewapelekea maendeleo na wasipomchagua hawawezi kuishi.Huyu mwanaccm hana akili,maendeleo hayaletwi na ccm,yanaletwa na watanzania wenye kwa kufanya kazi kwa bidiii na kwa tija Kisha kulipa Kodi kwa uaminifu.otherwise huyo no mjinga tu na anapaswa kupuuzwa
Haifunguki kwangu,alisemaje hapo?
Asante!Kwakweli ulevi wa madaraka ni mbaya mno!Nna mnukuu
"Nchi hii hakuna Maendeleo bila ya CCM kuamua na tukiamua yanakuja na tukiamua hayaji na cha kutufanya hakipo.Ee ,kwani wewe Diwani ulipokuwa Chadema hapa tulileta kitu hapa ?.Aah tulileta ?.Waambie tulileta ?Hakuna hatuwezi kuleta tutaletaje !?.Yaani tukuletee tu kienyeji enyeji."
Mwisho wa kunukuu.Haya tunaomba Maoni yako.