Mnayakumbuka maneno ya Mwenyekiti wa UVCCM?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,589
215,186

1584195620913.png
 
kama maendeleo hayana vyama watupe tume huru, ni maendeleo yatakayomgusa kila mtanzania.
 
Huyu mwanaccm hana akili,maendeleo hayaletwi na ccm,yanaletwa na watanzania wenye kwa kufanya kazi kwa bidiii na kwa tija Kisha kulipa Kodi kwa uaminifu.otherwise huyo no mjinga tu na anapaswa kupuuzwa
Inasikitisha kwamba kutokana na elimu duni ya uraia, wananchi wengi wanaamini si CCM bali Magufuli ndiye anaewapelekea maendeleo na wasipomchagua hawawezi kuishi.
 
Haifunguki kwangu,alisemaje hapo?

Nna mnukuu

"Nchi hii hakuna Maendeleo bila ya CCM kuamua na tukiamua yanakuja na tukiamua hayaji na cha kutufanya hakipo.Ee ,kwani wewe Diwani ulipokuwa Chadema hapa tulileta kitu hapa ?.Aah tulileta ?.Waambie tulileta ?Hakuna hatuwezi kuleta tutaletaje !?.Yaani tukuletee tu kienyeji enyeji."

Mwisho wa kunukuu.Haya tunaomba Maoni yako.
 
Asante!Kwakweli ulevi wa madaraka ni mbaya mno!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom