Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

eti mweupee kabisa hapana bro we ndo mwenye afya kama Shem mwenyewe ndo anasema ameridhika basi Haina shida just live your live usisikilize ya wengine
 
Kila mtu ana namna yake ya kuendesha maisha yake. Ukiwa mtu wa kusikilizasikiliza kila kitu na kutaka kuiga, utakuwa huishi maisha yako.

Kama lengo linatimia ya nini kujihisi mkosefu.

Jizoeshe kuishi maisha yako
 
Wakuuu mko poaa

Nikiwa napiga piga story na wanaume wenzangu wanaibuka na kudai wao bao la kwanza bila ya zaidi ya dk 60 halitoki.
...
Huwa wanawaza shida zao zote, madeni na misiba yote ya watu wao wa karibu, inachelewesha bao kama hutaki ku-enjoy show.

Kwahio na wewe akili yako usiweke kwenye tendo waza misiba na shida zako zingine utapiga tu dakika 60.

Kila la kheri.
 
Kuwai sana kumaliza(chini ya dakika 3) ni ugonjwa na kuchelewa kumaliza ni ugonjwa pia.
Kwaiyo ww hapo ni mzima ndani ya wodi ya vichaa lazima tu hao vichaa watakuona ww ndio kichaa
 
Hivi bao mnazijua nyie! Labda kama unatoa bao la paka ndio yatafika 12! Ila kama goli la kujaza kijiko ukipiga 3 hamu imekata kabisa😅
Saivi siwezi...nikijitahidi 5 mwisho ila kipindi Niko olevel nlkuwa Na ham kinoma Yani napiga Bao 7 ila Bado hamu ipo kama sija+ombana mwaka
 
Wale vikojozi wa dakika mbili baada ya kuingiza mb ooo piteni hapa mchukue mautundu ili muache UCHAFUZI wa mazingira.
 
Bao la pili ndo naweza enda hata dk 15, bao la tatu naenda nusu saa, bao la nne labda malaika ashuke.
Hii ndio hali halisi sasa, ila kukuongezea stamina unatakiwa ukilosikia linakuja chomoa mpige romance mbadilishe style ili kulipoteza na kulichelewesha goli utashangaa goli la pili unaenda mpaka dk 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…