Duh!M
Mshkaji wako au mumeo?
Kisa kimemkumba Mshikaji wanguDuh!
Duh! History TenaNgoja kwanza nisome long distance trade nitakuja.Maana wahenga walisema fimbo ya mbali haiui nyoka
Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara... Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko Dar..Mshikaji anadai manzi analalamika inapita siku Mshikaji hajampigia..anaona kama vile hampendi..
Kwani si nimetumia lugha ya Uficho hakuna any name ambayo imekuwa mentioned aboveUmbea umbea sio tabia za wanaume...
Sasa imagine huyo binti aliyepo Dar anakuja kusoma kisa cha kugombana na mpenzi wake JF, si ndio penzi litavunjika kabisa...
Kwani si nimetumia lugha ya Uficho hakuna any name ambayo imekuwa mentioned above
mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara... Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko Dar..Mshikaji anadai manzi analalamika inapita siku Mshikaji hajampigia..anaona kama vile hampendi..
Soulimeti. Hakuna kuaminiana kwenye long distance relationship hasa siku hizi. Ni kupotezeana muda tu!Sina hamu na long distance relationship, imefanya nimepoteza mtu niliyekua nampenda sana, wivu na kutoaminiana ni mojawapo ya sababu. Ila mkiamua na kuwa na mipango dhabiti hakika mtadumu vizuri. Mwambie huyo rafikiyo waongee vizuri na babe wake na waaminiane.


Ni kweli kwa asilimia kubwa, japo pia kuna wanaodumu Salimeti, nashani ni mipango ya hao wahusika jinsi gani watakavyoona itafaaSoulimeti. Hakuna kuaminiana kwenye long distance relationship hasa siku hizi. Ni kupotezeana muda tu!![]()


😂😂😂😂😂😂😂😂Habari wasee!
Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara... Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko Dar..Mshikaji anadai manzi analalamika inapita siku Mshikaji hajampigia..anaona kama vile hampendi..
Sasa Haya mapenzi ya Long Distance yanayotegema Phone Communications Mnawezaje yamudu nyie...Kwasababu kuna wengine wako kwa Long Distance Relationships kwa Muda mrefu na hayajawahi Vunjika...
We Fikiria mtu usipompigia wala kumtext siku nzima tayari anaanza kutia shaka labda unamcheat au humpendi...sasa kweli hata kama ni wewe unaweza pata muda wa kutext 24 hours..
Sasa Just Imagine uaminifu unaweza potea kwa wenza kisa Umbali sasa nyie wenzetu mmewezaje kudumu kwa Long Distance Relationships na Vijana wengine ambao ndio wengi wako kwa Aina hii ya mahusiano zaidi wafanyeje kudumu..
weeacha t niligongewa mpenz wangu kwa huu upuuzi wa sjui long distance inauma atakudanganya babe nakutunzia niyako tu ...kumbe anagawa papuchi Sana t kingne pale anapoanzisha kiugomvi flani kisicho kuwa na sababu za msingi anakukalia kimy hata sk mbili tatu jua t analiwa mtu hapo kiurainiii we utaona ukimy ukijua tumegombana akisha malizana na uyo mtu wake anaemkuna uko aliko ndo atajirudisha ......Sina hamu na long distance relationship, imefanya nimepoteza mtu niliyekua nampenda sana, wivu na kutoaminiana ni mojawapo ya sababu. Ila mkiamua na kuwa na mipango dhabiti hakika mtadumu vizuri. Mwambie huyo rafikiyo waongee vizuri na babe wake na waaminiane.


Pole sana mjuba ila hio ndio akili sasa! Siku nyengine usirudie makosa😅😅😅weeacha t niligongewa mpenz wangu kwa huu upuuzi wa sjui long distance inauma atakudanganya babe nakutunzia niyako tu ...kumbe anagawa papuchi Sana t kingne pale anapoanzisha kiugomvi flani kisicho kuwa na sababu za msingi anakukalia kimy hata sk mbili tatu jua t analiwa mtu hapo kiurainiii we utaona ukimy ukijua tumegombana akisha malizana na uyo mtu wake anaemkuna uko aliko ndo atajirudisha ......![]()
hatr mzee mpaka hapo nilisha inua mikono juuu Hawa viumbe emagine kipind hicho chote nipobali nae Zaid ya miaka miwil me nipo dar ye Yupo mbeya nikawa najitosa mzee baba Safari haziishi kwenda kumeet nae japo kila baada ya miez miwil mitat nakaa nae Kama one week nageuza kumbe nyuma nikisha ondoka anabk muhuni mmoja anamega vzr tPole sana mjuba ila hio ndio akili sasa! Siku nyengine usirudie makosa![]()
Hahahahahahah nimecheka sana mkuu japo haifai kucheka ila nikiwaza ile moment demu anakupanga anakutunzia ni yako pekeyako af kumbe ni uongo mtupu. Kuna janja anajigongea tu kilaini 😂😂😂 mademu wacenge kweli aiseeweeacha t niligongewa mpenz wangu kwa huu upuuzi wa sjui long distance inauma atakudanganya babe nakutunzia niyako tu ...kumbe anagawa papuchi Sana t kingne pale anapoanzisha kiugomvi flani kisicho kuwa na sababu za msingi anakukalia kimy hata sk mbili tatu jua t analiwa mtu hapo kiurainiii we utaona ukimy ukijua tumegombana akisha malizana na uyo mtu wake anaemkuna uko aliko ndo atajirudisha ......![]()
kwanza yaniliingza hasara Sana mahusiano ya dizain hiihatr mzee mpaka hapo nilisha inua mikono juuu Hawa viumbe emagine kipind hicho chote nipobali nae Zaid ya miaka miwil me nipo dar ye Yupo mbeya nikawa najitosa mzee baba Safari haziishi kwenda kumeet nae japo kila baada ya miez miwil mitat nakaa nae Kama one week nageuza kumbe nyuma nikisha ondoka anabk muhuni mmoja anamega vzr t



Sikuingine anakuaga mapema analala kumbe tayari mwamba kashafika kwa ajili ya kumkaza...Anajifanya kichwa kinauma kumbe jibaba anaandaliwa mbunye ale bila kero za simu zako 😂😂😂hatr mzee mpaka hapo nilisha inua mikono juuu Hawa viumbe emagine kipind hicho chote nipobali nae Zaid ya miaka miwil me nipo dar ye Yupo mbeya nikawa najitosa mzee baba Safari haziishi kwenda kumeet nae japo kila baada ya miez miwil mitat nakaa nae Kama one week nageuza kumbe nyuma nikisha ondoka anabk muhuni mmoja anamega vzr t
Hamna mwanamke anayeweza kukutunzia mbunye labda awe mlokole wa kukesha kanisani ila hawa wanaotanga na dunia tu bila imani thabiti na uoga wa Mungu ni wana maigizo wazuri sana!kwanza yaniliingza hasara Sana mahusiano ya dizain hii
nilikua natumia gharama kubwa kusafr na mambo mengne meng kugharamia malazi chakula hotel
kubeba mizawadi kibao ukijua unatunziwa penz lako
afu nikikosa kutafuna papuchi kibao zilizonitaka kwakujifanya najua kupenda siwez msart bebe wangu kumbe ndo najikaanga
Kama we uko na bebeb wako mbal jua tu kuna asilimia nyingi mno za kutafuniwa ikiwemo kimasihara Sabu anakua na ugwadu wa mda mrefu co mapenzi ya mbali hayafai narudia utakuja kufa