Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Inategemea mliachanaje mkuu!Katika kitu kimenishindaga kwenye mahusiano ni kurudiana na ex wangu yeyote yule. Mimi roho yangu ni ndogo sana mtu akinikosea huwa inaniwia vigumu kumsamehe na kurudiana nae. Niliwahi kujaribu lakini tulikutana tu mara moja nikagundua sina hisia nae tena wala mapenzi hakuna.
Kwa wewe huna cha kunisaidia tuwasubirie wengine tu mkuuKwahiyo tukusaidie nini?
MkuuKwahiyo tukusaidie nini?
VawulenceKwahiyo tukusaidie nini?
Basi nimeponea chupuchupu aisee🚮Ex harudiwi na wengi waliojaribu waliambulia HIV na magonjwa ya zinaa
Kama una roho ya aina hiyo, ndoa itakushinda. Kumbuka huyo mtakayefunga ndoa ni mpaka golgota. Lakini kukwazana kupo pale pale na kitu muhimu katika ndoa ni kusameheana.Katika kitu kimenishindaga kwenye mahusiano ni kurudiana na ex wangu yeyote yule. Mimi roho yangu ni ndogo sana mtu akinikosea huwa inaniwia vigumu kumsamehe na kurudiana nae.
Niliwahi kujaribu lakini tulikutana tu mara moja nikagundua sina hisia nae tena wala mapenzi hakuna.
Nakusangaa kama siyo kukushanga. Pilipili usokula zakuwashia nini? Si wewe ni mwendo wa ndito wenzako tuEx harudiwi na wengi waliojaribu waliambulia HIV na magonjwa ya zinaa
Zimwi likujualo halikuli likakwisha ,mpya naye ni x huko atakapoZimwi likujualo ......
Endelea kugawa tu utamu kwa vijana na wazee huku ukisubiri Simp mmoja ajichanganye akuweke ndani.
CC Natafuta Ajira