madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
Weekend hii mnaweza kunipeleka Mirembe. Nawaza tu...dakika ya 89 bila bila... Pogba anampiga chenga beki wa kwanza wa Barcelona...kisha wa pili..kisha watatu... mbele anabanwa...anamuona Tevez anakuja..anageuka anamtengea.. kama mita 20 hivi...inatoka mashine...mpira huoo nyavuni. Refa anaweka kati...naweza kutoka mtaani bila nguo....majirani watanitia kamba aisee....kisha Mirembe!!