Kuku wa KFC kuna siku watamu kuna siku kawaida, labda ulienda siku ambayo hawako poa. Nilikula MARRY BROWN pale mliman city nikaona kuku wabaya sana, mpaka leo sielewi wale watu wanaojaa pale wanatafuta nini na kuacha kwenda KFC. Nadhan ndio scenario kama yako ilinikuta.