Kulikuwa na "mabingwa wa salamu" ambao walikuwa hawakosekani aidha kutuma salamu au kutumiwa salamu kwenye vipindi mbalimbali vya radio. Unayakumbuka majina yao?
oooh yes, huyu amekuwapo katika kipindi cha radio zooote, tangu enzi za mwalimu hadi miaka ya 1990Mmesahau chid chid chitenda
21. Ongeza..... Sura Mbili ( nimesahau jina la kwanza maana hii ni AKA - Huyo alikuwa akituma zile salam za kuunganisha anataja watu kama 10 kama salamu za kwanza, za pili watu kama 30..nk.. alikuwa ana kipaji cha kuongea kama cherehani!
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya
1.Issa Hasssan Madjeshi
2.Chidi Chidi Chitenda
3.Chivalavala wa Chivalavala
4.Limonga Justin Limonga
5.Duwa Wajadi
6.Wajadi Fundi
7.Mohammed Kassim Saibaba
8.Jai Sikinde
9.Maalim Shabani Uledi
10.Boko Man Mwana wa Mkongoman
Hahaaaaaaa,Mwanakijiji..Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,umenikumbusha vipindi vya Jambo na Mchana Mwema(Pokea Salamu) pale Radio Tanzania bila kusahau kipindi cha usiku cha Kijaruba cha Abdallah Mlawa,hivi vilikuwa ni vipindi maarufu sana vya salamu...Ilikuwa ukisikiliza vipindi hivi ni lazima utakutana na majina haya
1.Issa Hasssan Madjeshi
2.Chidi Chidi Chitenda
3.Chivalavala wa Chivalavala
4.Limonga Justin Limonga
5.Duwa Wajadi
6.Wajadi Fundi
7.Mohammed Kassim Saibaba
8.Jai Sikinde
9.Maalim Shabani Uledi
10.Boko Man Mwana wa Mkongoman
Ming'oko ni minyangarika kwa kiswahili. Ok?Umenikumbusha mbali sana..na hiyo ming'oko hasa ni nini maana sikupata kufahamu hasa walikuwa wanauza nini.
huyo alikuwa Vingunguti kiembe mbuzi, tunaongezea na Medi Kitandawili wa Temeke, pia kulikiwa na ukoo wa Macharanga kuanzia mzee wa macharanga hadi kijukuu cha macharangaNambrieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wa Kisalaweee
Pia walikuwepo wengine ambao ni maarufu sana Radio One na RFA
1.John Zenze
2.Ndilana Mwambi
3.Suleiman Rashid 'Mzee wa Dozi nene'
4.Marehemu Jangala Kilongosi wa Mbuguni Mererani
5.Jumanne 'JB' Ngilisho wa Arusha
6.Stephen Ishengoma
7.Bongo Experience
8.Juma Msurvivor
9.Teddy Big Mama
10.Manka Mushi
11.Bukavu Mwandinda
12.Papaa Osama wa Dodoma
13.Frank Malecela 'Mubosi' wa Kikuyu 5 Stars Dodoma
14.David Beckham Onana wa Dodoma
15.Dismas Chabela wa Chabela Camp Dodoma
16.Juhudi Mr Luvanda wa Tunduma Mbeya
17.Sita Tuma Kubanda 'Sita wa Sita' wa Mwanza
18.James Sinje wa Mbeya
19.Lajii Freedom wa Dodoma
20.Manase R. Muhaha 'Hambako'
Wewe kiboko, nilitegemea nione jina lako kwenye kundi!