Mnawakumbuka HAWA, Nani huyoo mwenye AFRO?

Mnawakumbuka HAWA, Nani huyoo mwenye AFRO?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
20702_504838012869957_441088914_n.jpg
 
Tuma zawadi yangu haraka. Maana unajua kuwa hawa nawajua kwa vile nimecheza nao wakati tukisoma pamoja kule kwa Joji Kichaka. Sina haja ya kuwataja kwa vile unajua kuwa ninawajua. Hivi wewe unadhani nitasema ni akina nani vile?
 
Huyo jamaa anayeangaliana na Mohamed Ally ni yule mwimbaji wa kundi la Boney M.....
 
"Mohamed ali "mchezaji wa ngumi

Inasemwa: Mpiganaji masumbwi. Mohamed Ali, mfalme katika himaya ya upiganaji makonde/masumbwi.

Yeye huwa hachezi anapopigana ngumi. Anamtwangwa mpinzani wake sumbwi la kweli, akikusudia kumshinda kwa knock-out.
 
Muhammad Ali with Jim Kelly( was famous actor - Enter the dragon with Bruce Lee, was one of his movies.
 
Jim Kelly - Mcheza Karate Mahiri, Moja ya Picha yake maarufu ni 'Three the hardway"

Mkuu hiyo picha ya " Three the hardway" ilikuwa kiboko nakumbuka Majestic Cinema Tanga !
 
Huyo jamaa anayeangaliana na Mohamed Ally ni yule mwimbaji wa kundi la Boney M.....

Kama umepatia vile, huyo ni kama Boney M Cool Dady (huwa anacheza utasema king'wendu na garden love lake), embu tufananishe na hapa chini; (compare and contrast)

images
20702_504838012869957_441088914_n.jpg
 
Back
Top Bottom