Mnatufikiriaje jamani

kutongoza naogopa na kujitolea mahali pia siwezi! The Boss
 
Me nataka kutongozwa na demu jamani ajitokeze plz.
 
We mwanamke wewe....?? mi nakutafuta kwa raha zangu!
 
Hivi kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume!

Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiriaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike?
Mi hata ukianza kunitongoza leo!! Ntafurahi sana wala sitakufikiria lolote kabisaaa... Bora usianze baby nataka touch sreen, mara ooh nataka flat sreen 42 inch nk. Sasa hapo ntakufikiria kitu.
 
Ngoja nianze process zakukutongoza ili ujue na sie huwa tunatongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…