Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,109
- 36,971
Ndugu wazazi na walimu pengine amjawahi kukaa na kujua chanzo cha baadi ya watoto wetu ambao eo hii ni vijana wakiitwa mashoga..wapo waliotenguliwa na mahgl wakati wakiogeshwa ama mhboy..ila kuna hili la boarding limekuwa ni aibu sasa kila sehemu ...
mbaya zaidi kuna kazi kubwa inaendelea kwa kuwaachia watoto wa shule wakicheza mpaka sasa jioni ..unahisi watoto kama hawa wanacheza shule ya uswahilini kama mugabe unatarajia nini baadae..kwaninii mlinzi anaruhusu watoto kucheza uwanjani mpaka sasa mbaya vijana wa mtaani wakikaa pembeni kuwaangalia/.....
embu tuwe na sheria kidogo ya kuweka mipaka..
MWL MKUU WA SHULE YA MUGABE FWATILIA HILI ...MTATENGENEZA MASHOGA WENYEWE BILA KUTARAJIA WATOTO WADOGO KUTOENDA MAKWAO MPAKA SASA KUTWAFANYA WAHUNI KUWAVAMIA ...JUST ANGALIZO KUPUNGUZA MASHOGA DUNIANI..WALINZI WASIKUBALI BAADA YA SAA KUMINAMOJA KUWEPO WATOTOT UWANJANI AMA SHULENI KWA UJUMLA