Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 382
- 506
Miye bado natafakari.
Wahaini wamekutana. Na ukiwakagua hapo utawakuta na silaha za kuhatarisha amani.View attachment 3310409
Miye bado natafakari.
Laana ya kuchoma watu haitokuacha salamaView attachment 3310409
Miye bado natafakari.
Huyu kibaka tangu amsaliti Wilfred Lwakatare akili yake haijawahi kukaa sawa kama ilivyokuwa kwa Kaini baada ya kumuua nduguye Habili.Laana ya kuchoma watu haitokuacha salama
Unakumbuka Lwakatare ulivyomfanyia wewe na mzee wa skafu shingoni mkampa kesi ya Ugaidi. Do you remember that ?
Wakati unaomba urais DUCE kupitia upinzani ulikuwa na akili. Siku hizi we ni boya fulaniView attachment 3310409
Miye bado natafakari.
Tuwekee na ya Mama Samia akiwa na Maaskofu au hata ile iliyotolewa na Ikulu Mawasiliano leo inatoshaView attachment 3310409
Miye bado natafakari.
JahahaTuambie tafakuri yako kuhusiana na sheria za tume ya uchaguzi.
Fr.kitima ndie alikua mpiga picha hiyo akadhani haitajulikana 🐒View attachment 3310409
Miye bado natafakari.