Mnasemaje kuhusu hizi picha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnasemaje kuhusu hizi picha?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 21, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  375291_332905136732755_100000398151374_1017338_1984399378_n.jpg 383005_331803726842896_100000398151374_1014906_573585844_n.jpg 384846_329563057066963_100000398151374_1009521_1251164101_n.jpg 393462_335086543181281_100000398151374_1023535_378314519_n.jpg 400247_330283990328203_100000398151374_1011280_507681273_n.jpg 404428_332628313427104_100000398151374_1016638_2104565720_n.jpg 406612_330486250307977_100000398151374_1012025_87499466_n.jpg 407227_333283670028235_100000398151374_1017859_650774317_n.jpg

  Picha ipi iliyokuvutia?
   
 2. RaiaMbishi

  RaiaMbishi JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 252
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pic no. 5
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  na3.....that is self service
   
 4. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  hiyo namba 8, hope apo ni india at?
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu chaguo lako na langu sawa !
   
 6. T

  TUMY JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  picha no.5 na no.7 kwangu mie naziona kiboko kwa kweli
   
 7. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Na hizi je???

  accidents01.jpg accidents17.jpg accidents19.jpg
   

  Attached Files:

 8. M

  Mohamed Ibrahim Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi sana hizi picha
   
 9. driller

  driller JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ya kwanza ni uzembe wa dereva.. wewe huwezi kuingiza gari imejaa mzigo hivyo kwenye tope kama hilo kabla hujaangalia njia yenyewe

  ya pili huyo dingi akili zimemruka huko kwenye kichwa yani ni hakuna kitu au kaambiwa afanye hivyo na sangoma wa mbele huko.. wakati huku bongo tunaambiwa tufanye hivyo nite kali na masangoma wetu japo kua ni upumbafu mtupu pia...!

  ya tatu yaani huyo dogo anaonekana ni shujaa kinoma ila ataumwa mda sio mrefu hapo na ninaomba nijue kua anaendeleaje hospitalini coz najua atakua amelazwa

  ya nne ni masikitiko ya miundo mbinu ya nchi hii yaani hapa ninaumia kinyama ila ninaamini magufuli anaona hili pia coz hapa jf anapatikana..

  ya tano ndio imeniacha hoi kweli kweli,, huyo jamaa anajua kuandika na anajua kuwasilisha mawazo yake kama jinsi anavyoongea na wasela wake kila siku yani imeniachia crack kwenye mbavu hiyo picha..!

  ya sita hiyo ni picha duka

  ya saba hiyo inawezekana kabisa kwenye ndege mbovu hasa ndege ndogo zikiwa zinaingizwa workshop

  ya nane pia ni picha duka... katika ile speed hakuna ambae anaweza kukaa juu na akatulia vile hakuna kabisaaa

  nimemaliza ninaondoka kwaheriiiiiiiiii:A S embarassed:
   
 10. driller

  driller JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  dah hawa jamaa ni nnoma hebu imagine ingekua wewe ungekimbilia wapi hapo na kitu cha jeshi kinakuja mpera mpera namna hiyo..!
  na huyu mjamaa na vespa yake hapa ni lazima alijamba alipofika chini immediately the first thing was fart
   
Loading...