Mnasemaje kuhusu hii picha?

Ujumbe huu unafanana na ujumbe mmoja niliotumiwa katika simu yangu unasema "tabia ni kigezo cha mwanamke wa kijijini na urembo ni kigezo cha uzuri wa mwanamke wa mjini
 
teh teh huyu unakutana naye pale morroco au ubungo mataa anaosha vioo vya magari na wale madogo.

au unakutana nae mitaa ya kona bar au meda kabeba kabinti kabichiii kakapinda 7 pale pembeni kwa babu
 
Hapana aisee hapo nimegoma nimekataa nimesema no hafai kabisa kuitwa bebii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…