Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,732
- 19,621
Hahahaaa, asante dada, matokeo ya utafiti utayapataOhh kila la heri kaka
Kwa hiyo una mpango wa kuwaendeleza wangapi had sasa???Hahahaaa, asante dada, matokeo ya utafiti utayapata
Hapo umenena mkuuWanawake wa kuwaendeleza ni Wake zenu na Mama zenu aisee.
It don't get better than that.
Nipo katika utafiti wa kina Karucee ingawa kwa mama hapo hakuna mpinzaniWanawake wa kuwaendeleza ni Wake zenu na Mama zenu aisee.
It don't get better than that.
Ndio naangaza angaza nimpate wifi yako mmoja kwanza, ila usiyapeleke kwa mama basiKwa hiyo una mpango wa kuwaendeleza wangapi had sasa???
Hahahahaha me naona heri upate mwanamke ambae unaona huyu utakua nae bega kwa bega mtengeneze maisha yenu ndio ufanye hivo vinginevyo kaka kama una pesa sana kasaidie hata wale watoto wanaoishi mazingira magum asee, mama simwambii mana najua mnaweza gombana bureNdio naangaza angaza nimpate wifi yako mmoja kwanza, ila usiyapeleke kwa mama basi
Wengi Ke huwa wanataka vitu vya luxury na Me hua wanaona sawa tu wanawapa hivyohivyo, lakini wote wngekua wanajiongeza wangweza fanya mambo yenye faida na kuendeleaJapokuwa kwa mbaali nawaza ni Ke wangapi ambao wana akili za kuomba kufunguliwa biashara au hata kuwa na mawazo hayo hasa wakiwa na Me wenye kuwapa pesa ya maana zaidi ya kufanya mambo ya kujionyesha onyesha ikiwemo kuvaa na vitu vingine visivyo na faida.
Wala sina pesa sana dada yangu kipenzi ila si unajua tena wanaume tukutanapo tunapeana maneno ya kujaribu mbinu mbalimbali za kujipanga kiume, ni kama nyie wanawake tu mkutanapo na story zenu za kusadikikaHahahahaha me naona heri upate mwanamke ambae unaona huyu utakua nae bega kwa bega mtengeneze maisha yenu ndio ufanye hivo vinginevyo kaka kama una pesa sana kasaidie hata wale watoto wanaoishi mazingira magum asee, mama simwambii mana najua mnaweza gombana bure
Si unaona yule rais wa Malawi mwanamke yeye alikua anatupiga vijembe tu wala hasogezi majeshi mpakaniInasemekana nchi zote maraisi wangekuwa wanawake pasingekuwa na vita bali nchi zingenuniana tu
Ngoja na mimi nisubiri
Si unaona yule rais wa Malawi mwanamke yeye alikua anatupiga vijembe tu wala hasogezi majeshi mpakani
kwa hiyo na shemejio saa hizi anapewa mawazo kama haya eeeh??Wala sina pesa sana dada yangu kipenzi ila si unajua tena wanaume tukutanapo tunapeana maneno ya kujaribu mbinu mbalimbali za kujipanga kiume, ni kama nyie wanawake tu mkutanapo na story zenu za kusadikika
Me nakuombea upate mwenza sahihi ambae baadae aje kua mkeo kaka, anatolewa sababu watu tunafikiri mpenzi ni hivi tu mnadate kuibana kila mtu kwa mwenzie hajulikani lakini mke ni official huyo watu wanafaham japo mke ni mpenzi vile vile sasa sjuu hua yawajeIla nilichomuelewa rafiki yangu yule alisema wasaidie wapenzi wako kwa kujiangalia yeye na wingi wa alokua nao lakini mimi nina maanisha mpenzi, tena aweza kua mke, unajua kwa mazoea ya kiswahili mke tunamtoa kwenye kundi la mpenzi sijui kwanini dada!?
Nchi ingeneemeka, watu wangekua na furaha, uhalifu ungepungua, kazi zingefanyika, vipato vya watu vingeongezeka,mahusiano yetu na jumuiya ya kimatifa yangezidi kua mzuri, visasi visingekuwepo, ndoa, urafiki na mapenzi yasingevunjika...kwa sasa hivi ni kinyume chakeHahahaha kwa hiyo tumpe Samia
Naamini hata kama anapewa mawazo kama haya au mengine atachanganya na zake dada, nina imani atayachukua mawazo hayo akaja akayafanyia kazi kwako, atakua kapata mawazo mabaya kayapeleka pazuri, kuna shida hapo Madame...Ni kama nyie huko mnavyokutana na vishawishi vya kila aina kwani ni lazima kuvikubali, relax siskwa hiyo na shemejio saa hizi anapewa mawazo kama haya eeeh??