Mnara wa Azimio la Arusha wapambwa Bendera za Chadema

Nimeona hii picha katika "kitabupicha" cha Ndugu Mhonga Ruhwanya inaelekea Azimio la Arusha ni sera ya Chadema baada ya kuachwa na Chama cha Matusi (CCM).

Walimdharau mwasisi wa Azimio la Arusha kisha wakamuulia st.Thomas Hospital,Sasa azimio hilo limerudi kwa njia ya M4C.Wajiandae kupanda kizimbani 2016
 
Back
Top Bottom