Depends upon what I want. Hit and run, am always time keeper akiniletea maringo simfuati tena. Nikipenda kweli kweli, niko radhi nifukuzie hata miez 3 because I know what I want.
But let me share with u two true stories of mine. When I was a college student, it took me 4 solid moons since our first date to our first sex. Huyu nilimpenda sana, sikua na haja ya kuharakisha tendo, by the way tulichaana tena kwa bifu kali. It's another story, sitaileta hapa.
Baada ya kuachana nae, I loved someone else. Very beautiful girl, akanisumbua miezi 2. Nilikua desperate sana na maumivu ya yule wa mwanzo hayajaisha vizuri. It was like I was looking for a rebound relationship. I gave up na sikumtafuta tena. Baada ya kuona niko kimya yeye akaanza kunitafuta simu zake sikupokea zote karibu mwezi mzima alikua anapiga na kutext. Alishaniudhi nikampotezea kabisa. Baada ya mwaka 1 tulionana unexpectedly bi mkubwa wangu alihamia kwenye nyumba yake mpya ambayo mi sikuijua awali (aliinunua), na mimi nilihamishiwa mkoani, kumbe naye kwao ni jirani kabisa, nyumba zinatazamana zimetanganishwa na barabara ya mtaa tu. Akaonesha nia tena, nimempotezea tena mpaka leo hii anahustle.
Niliye nae sasa kiukweli nilipomwona first time nilimtamani tu. Nikacheza kama Pele akaniandikia namba za simu mwenyewe. Nikamtafuta, two weeks then nikamtongoza. Hakunijibu kitu, ila usiku nilitumiwa msg "good night honey". Nikashangilia nimeshinda, nikawa naforce game sikupata mwezi uliisha. Akanipa, akanipa tena, wakati nawaza kumkimbia nimejikuta siwezi tu. Ananipenda balaa si kitoto. Tunagombana mara kwa mara lakini tunaendelea tu. Kusema ukweli hata mimi kwa sasa nampenda sana. Nilimtamani tu lakini sikumtendea haki, nilipaswa kumpenda since day 1.