Mnapataje games za PC bila kulipia?

Mnapataje games za PC bila kulipia?

CORAL

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
2,827
Reaction score
1,862
Nilidownload game inaitwa pirateville. Ni nzuri sana hasa kwa watoto. Lakini unapewa 1 hour free trial baada ya hapo unaambiwa ununue. Sasa nawezaje kubypass hiyo requirement ya kulipia au nidownload kutoka wapi ili nipate free? Natumia Compaq desktop windows xp.
 
Mkuu mi ni mpenzi sana wa hizi game za mbio za magari(Rally). Naweza zipata wapi bila kulipia?
 
Mkuu mi ni mpenzi sana wa hizi game za mbio za magari(Rally). Naweza zipata wapi bila kulipia?
Tembelea sites za torrents kama:
  • kat.ph au kickass.to
  • extratorrent
  • thepiratebay.se
kisha search game unayopenda!!
Ila kumbuka kufanya hivi ni kushiriki dhambi kubwa ya kula jasho la watu A.K.A WIZI!!
 
Back
Top Bottom