Mnapambanaje na hii changamoto katika mapenzi?

Pole sana...

Kwa nini utongoze mademu za watu wengine alafu uanze wivu... tafuta wa mbali ambae hata ex zake huwajui na hutakaa uwajue...

Cc: mahondaw
 
Pole sana...

Kwa nini utongoze mademu za watu wengine alafu uanze wivu... tafuta wa mbali ambae hata ex zake huwajui na hutakaa uwajue...

Cc: mahondaw
Uko sahihi 100% bora wa mbali mwenye hata mitoto kumi,Ila iwe marufuku kumtajataja baba watoto wake nikiwepo
 
Unaishi mtaa mmoja na ma-x wa mkeo? Pole sana mkuu,hawa hawafai hata kuishi nao karibu hata nchi moja yaani hapo wakionana lazima wapashe viporo.
 
Mbaya kujua nani alikuwa anamtafuna mpenzi wako,hasa kama mnafahamiana. Iliwahi kunitokea huko miaka ya nyuma. Nilifanya juu chini nimpitie nae demu wake,na nilimpitia kama mara 3 hivi. Ila ya 3 nikamwambia nimekupitia ksbb hii. Hapo roho yangu ikatulia
 
Duuu! Sawa roho inauma ila hukutenda haki mkuu, kwasababu yeye alimpitia huyo wako kabla hajawa wako
 
Yaani hata wasipopasha uporo bado Ex anamuona mkeo akiwa uchi
Unaishi mtaa mmoja na ma-x wa mkeo? Pole sana mkuu,hawa hawafai hata kuishi nao karibu hata nchi moja yaani hapo wakionana lazima wapashe viporo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…