Ndio kweli unamjua anakamata Gomba mbaya, kwa sasa sina uhakika kama anapiga Moshi Arusha, ila mara ya mwisho alikuwa na Cruser moja anapiga Kwa babu Loliondo
Judith, unajua nimepa-Miss sana A-Town, hasa hapo Mata...... Baa, kuna Ugali wa Muhogo mtamu ile mbaya............... na wahudumu wa hapo ni wakarimu kweli..............
Usimtishe bana.............unajua wana nidhamu sana, mpaka uwababaikie, kama ume-cool na viroba vyako, au kama unapiga Gomba wala hawasumbui...........
November natia timu chalii yangu, nitakutafuta tukale ndafu kwa Morombooo............. mbona hujanijibu kuhusu KWA SIFAA.........!?
Ha ha ha haaaaaaaaaa............. Muuza Sura umeuaaaaaaaaa..... Teh Teh TehTeh..................
Hivi watakaaje kwenye Toyo wale.................. Hivi uliwaza nini mkuu...............