Mnapajua Makalio Baa Arusha.....................?

Mnapajua Makalio Baa Arusha.....................?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Nimepakumbuka hapa mahali........................!

IMGP0791.JPG
 
halafu we mtambuzi nimekuona ukipiga hii picha leo hapa ****** bar
 
halafu we mtambuzi nimekuona ukipiga hii picha leo hapa ****** bar

Ha ha ha ha haaaaaaa......Huyo jamaa mwenye Kiroba mfukoni ni Chalii yangu tulikuwa tunapata Ugali wa Muhogo na Samaki wa Mwanza..............
 
mi sipajui hapo wap? matejo au?
yaani hii bar ina kigezo kimoja tu cha kuajiri muhudumu:unatakiwa kuwa na 'Masaburi makubwa'
kwa wewe mtoto sikushauri uitembelee kabisa!
 
yaani hii bar ina kigezo kimoja tu cha kuajiri muhudumu:unatakiwa kuwa na 'Masaburi makubwa'
kwa wewe mtoto sikushauri uitembelee kabisa!

Ha ha ha haaaaaaa............... We Nouma mzee.
Halafu unajua nini Chalii yangu, hata ile kitu inapatikana hapo...........nadhani umenielewa
 
mbona unakuja arusha kimya kimya?wanajamvi wa arusha wanajuana mkuu

Nilikuwa Bize sana na sikupata muda wa kuingia Net na Black Berry huko zinasumbua........Net haikamati kabisaa.
Pale stand ipo Cafe moja lakini nayo kimeo tu.........
 
Nilikuwa Bize sana na sikupata muda wa kuingia Net na Black Berry huko zinasumbua........Net haikamati kabisaa.
Pale stand ipo Cafe moja lakini nayo kimeo tu.........
bize na masaburi nini???najua pale ikifika saa sita sita wahudumu huadimika ghafla sijui kuna nini pale?
 
Back
Top Bottom