Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Dunia haiishi vituko kuna dogo kachapa kazi kajenga nyumba nzuri tu cha ajabu kaweka kibanda kidogo kilichoezekwa na nyasi urefu kama mita moja, anasema ni kinga ya wachawi
Kaka Jambazi badili hiyo ID haraka sana, kumbe jambazi linaogopa kiasi hicho? Kaka mkaribishe YESU nyumbani kwako ili awe mlinzi wa nyumba yako, hakika hutajuta!!!Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Uwasilishaji wako wa hoja husika ni kama vile unaomba muongozo ni namna gani nawe pia waweza fanya huu uzuzu usio na tija(kwa kuzingatia kuwa nawe pia unakaribia kukamilisha nyumba yako)........Ndugu epa mbali kabisa na hili tendo,ni mara elfu ukamtafuta kiongozi wako wa imani akubarikie nyumba yako na si vingine!
Kuzindika nyumba ni sawa na kuwasha green light kwa mashambulizi ya kishirikina,maana hii inaashirikia imani haba.
CHOCHONDENDE USIJARIBU HUU UZUZU!!
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Asante sana kwa kutufahamisha unajenga nyumbaNilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
"Watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa"
Mkuu ushirikina haujawahi kumpa mtu furaha wala kumwongezea maisha.
WANAANGAMIZWA! sio wanaangamia! soma vizuri biblia.
Mkuu tafuta kiongozi wa dini yako apige dua/sala kisha hamia. Wachana na utapeli utawekewa mapepo kwenye nyumba yako na hutaishi kwa amani.
Kama huamini zindika uone mabalaa yatakavyopanga foleni kisha utaichukia nyumba yako na kuihama mwenyewe bila kulazimishwa na mtu!
kuweka wakfu ndio nini?
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mimi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!

Ni kuzindika kwa kufuata mila na desturi za wazungu
Asante sana kwa kutufahamisha unajenga nyumba
Inategemea unaishi wapi! Nilisafiri siku moja na mfanyabiashara ya madini kutoka Arusha, nilipomdadisi kuhusu mauaji ya mara kwa mara huko Arusha, akanieleza kuwa ni kutokana na visasi katika biashara. Akazidi kunifahamisha kuwa visasi ni vingi Dar kuliko Arusha ila kwa Dar ukiwa na kisasi na mtu unamwendea kwa mganga lakini Arusha anakutwanga risasi.