Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,784
- 4,097
Wakati tunamalizia wiki nimeona tushirikishane kidogo juu ya hawa mabinti wanaoamua kuzaa na waume za watu maana hili sasa ni janga la kitaifa.
Hivi jamani hawavihurumii hivyo viumbe wanavyovizaa tena halikuwa hawana uwezo wa kifedha kuvihudumia?
Hivi hawaoni wanadidimiza maendeleo ya familia ya huyo mwanaume maana atapaswa kupunguza bajeti ya nyumbani kwake na kuihamishia huko nje?
Hivi hawaoni wanavyowaathiri hao watoto kwa kuwaza urithi ambao hawana uhalali nao tena wengine wanakuja kulialia hapa Jf kuhusu urithi usiowahusu!
Pamoja na kuwahujumu wanawake wenzao ktk ndoa zao bado wanaamua kuzaa kabisa tena wakinogewa ni zaid ya mtoto mmoja!
Hakika nawaambia Mungu anawaona maana mnaleta matatizo ktk jamii na kwa kukosa malezi bora vingine vinageuka vipanya road.