Mnaozaa na waume za watu Mungu anawaona

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,784
4,092
Wakati tunamalizia wiki nimeona tushirikishane kidogo juu ya hawa mabinti wanaoamua kuzaa na waume za watu maana hili sasa ni janga la kitaifa.

Hivi jamani hawavihurumii hivyo viumbe wanavyovizaa tena halikuwa hawana uwezo wa kifedha kuvihudumia?

Hivi hawaoni wanadidimiza maendeleo ya familia ya huyo mwanaume maana atapaswa kupunguza bajeti ya nyumbani kwake na kuihamishia huko nje?

Hivi hawaoni wanavyowaathiri hao watoto kwa kuwaza urithi ambao hawana uhalali nao tena wengine wanakuja kulialia hapa Jf kuhusu urithi usiowahusu!

Pamoja na kuwahujumu wanawake wenzao ktk ndoa zao bado wanaamua kuzaa kabisa tena wakinogewa ni zaid ya mtoto mmoja!

Hakika nawaambia Mungu anawaona maana mnaleta matatizo ktk jamii na kwa kukosa malezi bora vingine vinageuka vipanya road.
 
Sasa mbona unalaumu mwanamke tu kwani ndo wanajitia wenyewe hyo mimba, nyie wanaume ndo hamjiheshimu na ndoa zenu kutwa kukitembeza mkifika kwa michepuko mnataka na watoto kabisa. Wote mwanaume na mwanamke wajiheshimu tu ndo solution basi
 
Sema unavotaka mm nishazalisha mmoja.... tena wanachuo wanapenda sana hii kitu.... nina order ya watoto zaidi ya wanne toka vyuo mbalimbali wanataka niwatundike mimba
 
Huyo anaegawa dozi hadi mimba anabakwa au anaguguma mwenyewe
 
Mlio katika ndoa mnazaa watoto wawili yaani wa kiume mmoja na wa kike mmoja kisha mnafunga . Elewa wazi huyo wa kike mmoja hana mwenza na huyo wa kiume mmoja hana mwenza kadhalika . Wanabaki tu kaka na dada wanatizamana . Basi inavyotokea hivi kwenda kuzaa na mwanamke mwingine hapa poa kabisa kwani umetoa nafasi . Hakuna mwanamume wa mtu hapa lazima kila mmoja apewe haki yake na watoto ni faraja asikuambie mtu .
 
Mapenz hayana mwenywe awe mume wa mtu sawa awe bf sawa... U aeza pata mume wa mtu anajitambua anajal familia yake vzur na wew anakujal sasa kabf kengne ka nn... Au ukapata bf full michepuko c bora uwe unajua hapa tuko wawl tuli full mahaba
 
Sasa mbona unalaumu mwanamke tu kwani ndo wanajitia wenyewe hyo mimba, nyie wanaume ndo hamjiheshimu na ndoa zenu kutwa kukitembeza mkifika kwa michepuko mnataka na watoto kabisa. Wote mwanaume na mwanamke wajiheshimu tu ndo solution basi
Anaechukua cha mtu ndio mwizi, kama ameamua kuuza mechi ajizuie asitese kiumbe cha watu.
Maskini watoto wanamuona baba kwa msimu na hawana uhuru wala muda wa kuenjoy nae.
 
Sema unavotaka mm nishazalisha mmoja.... tena wanachuo wanapenda sana hii kitu.... nina order ya watoto zaidi ya wanne toka vyuo mbalimbali wanataka niwatundike mimba
Angalau hao wanavyuo wanaweza kuwa na dira ya maisha badae kuliko hawa kina asha ngedere ambao mpaka boxer ya mtoto akanunue baba mtu.

Unauza mbegu zako bei gani?
 
hamna jinsi inabidi tubanane tu wanaume wenyewe mko wachache na katika uchache wenu wengine mmeamua kuwa kama sisi wengine nguvu dohoo
Ila mjitahidi muweze kutunza watoto bila hata ya baba kuliko wanakodolea mali zisizo zao, roho zinawatoka mpaka wanakua washirikina.
 
Back
Top Bottom