Mnaotumia Ving'amuzi vya Canal + njooni Mtujuze

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,578
Jamani mimi Dstv ishanishinda. Nataka nihamie Canal+ Sports maana gharama zao nafuu.

Vp ubora wa king'amuzi hiko upoje? Je game zote za EPL na UEFA zinaonyeshwa? Je ana chaneli za HD?

Kwenye lugha tutavumiliana tu hiko kifaransa.

Kwa ambao mshawahi kutumia kisimbuzi hiki njooni mtujuze mawili matatu.

Ahsanteni, heri ya mwaka mpya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyo mkuu, nicheki 0764453848/0686811173

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ukinunua kipya una pata huduma ya bure miezi sita...

Kuna fundi wa madishi alinipa huu mchongo namsikilizia kwanza ndipo niamue...

Nikipiga simu Burundi nao wana nijibu kuna hizo offer basi daaah dstv baibai
 
Naomba namba ya huyo fundi mkuu
Nasikia ukinunua kipya una pata huduma ya bure miezi sita...

Kuna fundi wa madishi alinipa huu mchongo namsikilizia kwanza ndipo niamue...

Nikipiga simu Burundi nao wana nijibu kuna hizo offer basi daaah dstv baibai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom