Mnaotarajia kujiunga vyuo vikuu kwa hili siwaelewi

Hapana, mkuu mara zingine mtu anakuwa na lengo na ndoto fulani. but kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake imemlazimu akasome kozi tofauti na lemgo lake. ndo mana anakuja kuomba au kuuliza so kila mtu anaefanya hvo kwamba hakuwa na ndoto.

io inatokeaga tu katika maisha.
unaweza ukapange ufanye hki baadae lakn kutokana sababu mbalimbali ikashndkana.

huenda kule ulikolenga kabla ilikuwa si riziki.

naomba mtoa mada unielewe tu, kuna mbali znapelekea mtu akajkuta katka hali hyo ambazo n nje ya uwezo wake.

napenda kuwasilisha.
 
Kwa Mtu Ambae Watu Wa Hvo Hana.
Hata Acces Ya Kupata Huduma Ya Intert Ni Shda Unazani Mtu Kama Huyo Kama Matokeo Aliteleza, Anaweza Aamue Asome Chochote.

Lakini Umezungumzia Swala Zuri Kuomba Ushauri Kwa Ndugu Na Wengineo. Kwani Kwa Alikuja Kuomba Ushauri Jf Anatofauti Gani Na Alieomba Mtaani?
Mara Zngne Unaweza Kuta Kwa Wale Alowaomba Ushauri Haukumwingia Ko Akaona Awashirikishe Magreat Thinker Jf, Na Nyie Mna Kuja Na Nyuzi Na Post Zenu Za Kipuuzi Bila Hata Ya Kufikiri Unaandka Pumba. Na Kuanza Kukatisha Tamaa Wengne Washndwe Kuomba Ushauri Kwa Jukwa I Kubwa Na Wale Wenye Ni Ya Dhat Kuwapa Ushauri Wengne Unawanyeshwa Sumu.

Huo Ni Ujinga Wa Kiwango Cha Lami Unatakiwa Kupigwa Vita Kwa Nguvu Zote Bila Kuonewa Haya Ata Kidogo.

Kama Wewe Katka Kusoma Ulpata Acces Zote Usfkr Wote Wako Hvo. Jarabu Kufkr Na Nyuma Ya Pazia.

Unakurupuka Tu Na Kuandka Pumba Ili Kuposha Umma
 
Mara Zngne Unaweza Kuta Kwa Wale Alowaomba Ushauri Haukumwingia Ko Akaona Awashirikishe Magreat Thinker Jf, Na Nyie Mna Kuja Na Nyuzi Na Post Zenu Za Kipuuzi Bila Hata Ya Kufikiri Unaandka Tu P
Alikuja kuomba ushauri mda upi? angeomba kabla hajafanya application hapo sawa ila sasa anaomba ushauri wakati ashachaguliwa tiyari sasa hapo ndo mtu unajiuliza mpaka anaiomba hiyo kozi alikua haijui inahusika na nini? na kwa nini afanye application na kuchagua kozi asizozijua huo ni upuuzi na huyo mtu hajielewi na hafai kabisa kua level hiyo
Mtu unamaliza diploma au form six hujielewi kiasi icho mambo madogo 2 yanayokuhusu na yanayohusu hatima ya maisha ako huelewi jinsi ya kuyapanga!
JITAFAKARI SANA !! na kila mtu atakushangaa kuongea pointless kama izo na huwezi kumuaminisha mtu kama kua hukupenda hiyo kozi wakati ulizijaza mwenyew na hukushikiwa kisu wala bunduki..
 
Shda Ni Acces Ya Kufanya Ivo Na Mda Wa Kuchambua.
Na Kitu Kama Baadhi Ya Vyuo Unaambiwa Uweke Kozi Tatu Ni Lazma Sasa Mwingne Anaweza Akaweka Coz Ili Kujaza Nafasi Lakn Kutokana Na Kumpetion Anapelekwa Hyo Ambayo Alijaza Tu.
Sasa Mtu Kama Huyo Ni Kwa Nini Asije Kuomba Ushauri.
 
ndo maana nasema madogo ni wavivu sana kufatilia mambo yanayowahusu
mimi nilikua nafanya application kwa mdogo wangu yeye alikua jeshini sasa wakati najaza hizo kozi yeye aliniambia anahitaji kusoma MD na ilikua ni lazima ujaze kuanzia kozi tatu na kuendelea ili kuepusha kuja kuchaguliwa kozi nyingine ikabidi niwasiliane na chuo husika nijue jinsi ya kutatua ilo na walinielewa na kunipa mbinu ya kufanya ili nijaze kozi moja tu
sasa ikiwa wew ni mwanafunzi umefikia level iyo (six or diploma) ila bado unashindwa kujiongeza kwa vitu kama ivyo utakua hauko makini na maisha yako ya baadae ndo maana nakwambia WATU WATAKUSHANGAA SANA ukiendela kulalama juu ya kuchaguliwa kozi usiyoitaka wakati uliamua kuijaza bila kufatilia kwa kina.
 
Kwa Mtu Ambae Watu Wa Hvo Hana.
Hata Acces Ya Kupata Huduma Ya Intert Ni Shda Unazani Mtu Kama Huyo Kama Matokeo Aliteleza, Anaweza Aamue Asome Chochote.

Lakini Umezungumzia Swala Zuri Kuomba Ushauri Kwa Ndugu Na Wengineo. Kwani Kwa Alikuja Kuomba Ushauri Jf Anatofauti Gani Na Alieomba Mtaani?
Mara Zngne Unaweza Kuta Kwa Wale Alowaomba Ushauri Haukumwingia Ko Akaona Awashirikishe Magreat Thinker Jf, Na Nyie Mna Kuja Na Nyuzi Na Post Zenu Za Kipuuzi Bila Hata Ya Kufikiri Unaandka Pumba. Na Kuanza Kukatisha Tamaa Wengne Washndwe Kuomba Ushauri Kwa Jukwa I Kubwa Na Wale Wenye Ni Ya Dhat Kuwapa Ushauri Wengne Unawanyeshwa Sumu.

Huo Ni Ujinga Wa Kiwango Cha Lami Unatakiwa Kupigwa Vita Kwa Nguvu Zote Bila Kuonewa Haya Ata Kidogo.

Kama Wewe Katka Kusoma Ulpata Acces Zote Usfkr Wote Wako Hvo. Jarabu Kufkr Na Nyuma Ya Pazia.

Unakurupuka Tu Na Kuandka Pumba Ili Kuposha Umma
Usikurupuke kujibu soma kwanza post kwa umakini mkuu,

hatujasema KUOMBA USHAURI NI KOSA HAPANA TATIZO NI USHAURI UMEOMBA MUDA GANI??

Kama kozi huijuwi ni vyema ukaomba ushauri wakati HUJAJAZA KOZI HIYO ukishapata majibu ndiyo ujaze, sasa wewe kozi umeshajaza umechaguliwa ndiyo unakuja kuomba ushaur?? muda ambao hata tukikushaur hatuwezi kubadili kitu.

mtu kutokutimiza ndoto hiyo inatokea sasa tukuulize wewe kukosa kozi ya ndoto yako HASIRA ndiyo zinaishia kwa kujaza kozi usiyoijuwa???

Umezungumzia upatikanaji wa mtandao kwa mtu huyo, awamu ya kwanza ya dirisha la udahili ILIKUWA MUDA ZAIDI YA MWEZI sasa hatakama unakaa bush mwezi mzima umekosa muda wa kwenda intanet cafe au mtu mwenye simu ukapitia kozi kwanza ukazijuwa kwa kina kabla ya kuomba, na kama unadai intanet alipo haipo sasa muda wa kuomba aliomba kwa kutuma BARUA??? si alitumia mtandao??

umemaliza chuo kabla ya matokeo mpaka matokeao mpaka muda wa kudahili umekaa cyo chini ya miezi 4 kwa nini usifanye uchunguzi kipi utaomba na kozi zipi...

BILA KUMNGUNYA MANENO KUOMBA KOZI USIYO IJUWA NI UJINGA,
OMBA USHAUR WAKATI HUJAJAZA, NA KAMA HANA NETWORK ALIPO ALIOMBAJE USHAURI JF WAKATI AMESHACHAGULIWA KWA NINI HAKUOMBA WAKATI HAJAJAZA KOZI HIYO??

KUOMBA USHAURI SIYO TATIZO TATIZO NI UMEOMBA MUDA GANI??
Nawasilisha.
 
Alikuja kuomba ushauri mda upi? angeomba kabla hajafanya application hapo sawa ila sasa anaomba ushauri wakati ashachaguliwa tiyari sasa hapo ndo mtu unajiuliza mpaka anaiomba hiyo kozi alikua haijui inahusika na nini? na kwa nini afanye application na kuchagua kozi asizozijua huo ni upuuzi na huyo mtu hajielewi na hafai kabisa kua level hiyo
Mtu unamaliza diploma au form six hujielewi kiasi icho mambo madogo 2 yanayokuhusu na yanayohusu hatima ya maisha ako huelewi jinsi ya kuyapanga!
JITAFAKARI SANA !! na kila mtu atakushangaa kuongea pointless kama izo na huwezi kumuaminisha mtu kama kua hukupenda hiyo kozi wakati ulizijaza mwenyew na hukushikiwa kisu wala bunduki..
Umemjibu vyema amekurupuka tu nafikr hakusoma post vzr,

Tatizo cyo kutokutimiza ndoto za kozi yake tatizo ni kuomba kozi asiyoijuwa kwa nini asiombe ushauri kabla ya kuomba????

kuomba ushauri ruksa ila tatizo umeomba ushaur muda gani???

Na huyo ndugu uliyemjibu anadai may be alipo mhusika hakuna network sasa muda wa kutuma maombi ni zaidi ya mwezi swali mwezi mzima umeshindwa kwenda eneo la mtandao ukafanya upembuzi wa kozi kabla ya kuomba???

Na baada ya kuchaguliwa kozi asiyoijuwa wakati kaiomba mwenyewe alipataje network ya kupost JF na maombi yake VYUONI alitumia barua ya kuandika???

Hakuna kupindisha maneno kuomba kozi usiyoijuwa NI UZEMBE WA KUFATILIA MAMBO NA KUCHUKULIA MAMBO YA MSINGI SIMLE..
 
Unakuta mwanafunzi kasoma CBG ndoto yake afanye kazi kwa MO kwenye kiwanda.
Anachagua kozi ya Food science.

Picha linaanza anatemwa round ya 1 , ya pili pia anatemwa .mwisho kabisa anachaguliwa environmental engineering wakati hajawahi soma math wala physics..

Hapo inabidi uulizie tu maana hio environmental ulikua hujawahi kuiota ni hali tu umejikuta unaenda kusoma
 
Lakini kumbuka amechaguliwa baada ya kuwa aliiomba mwenyewe wakati wa maombi..

Huwezi kuchaguliwa kozi ambayo hukuomba mkuu.

KUULIZA CYO TATIZO ISIPOKUWA ALIPASWA AULIZE KABLA YA KUJAZA ILI AKISHAPATA MAJIBU YA KOZI ASIYOIJUWA NDIYO AJAZE WAKATI ANAIJUWA MKUU.
 
Ukitemwa round za kwanza kwanza ,kwenye round za mwisho unapewa option yaani wanakupa kozi ambazo hazijajaa..

Mimi nina jamaa yangu alisoma CBG lakini akapelekwa St Joseph kusoma engineering bila yeye kutaka na mwaka wa 4 huu alishaliza.

Cha kuwashauri ni kuwa wasome sana wakiwa advance maana ukifauru sana unakuwa na uhuru wa kufwata dreams zako ..
Lakini ukifauru kawaida tabu iko pale pale
 
yaa kwa miaka ya nyuma ni kweli ulikuwa unaweza kuchaguliwa kozi ambayo hukuomba ila kwa sasa ni ngumu kidogo mkuu.

yaa mwisho ni kujitahidi kusoma kwa bidii kuendana na ushindani wa sasa.
 
ak
Usikurupuke kujibu soma kwanza post kwa umakini mkuu,

hatujasema KUOMBA USHAURI NI KOSA HAPANA TATIZO NI USHAURI UMEOMBA MUDA GANI??

Kama kozi huijuwi ni vyema ukaomba ushauri wakati HUJAJAZA KOZI HIYO ukishapata majibu ndiyo ujaze, sasa wewe kozi umeshajaza umechaguliwa ndiyo unakuja kuomba ushaur?? muda ambao hata tukikushaur hatuwezi kubadili kitu.

mtu kutokutimiza ndoto hiyo inatokea sasa tukuulize wewe kukosa kozi ya ndoto yako HASIRA ndiyo zinaishia kwa kujaza kozi usiyoijuwa???

Umezungumzia upatikanaji wa mtandao kwa mtu huyo, awamu ya kwanza ya dirisha la udahili ILIKUWA MUDA ZAIDI YA MWEZI sasa hatakama unakaa bush mwezi mzima umekosa muda wa kwenda intanet cafe au mtu mwenye simu ukapitia kozi kwanza ukazijuwa kwa kina kabla ya kuomba, na kama unadai intanet alipo haipo sasa muda wa kuomba aliomba kwa kutuma BARUA??? si alitumia mtandao??

umemaliza chuo kabla ya matokeo mpaka matokeao mpaka muda wa kudahili umekaa cyo chini ya miezi 4 kwa nini usifanye uchunguzi kipi utaomba na kozi zipi...

BILA KUMNGUNYA MANENO KUOMBA KOZI USIYO IJUWA NI UJINGA,
OMBA USHAUR WAKATI HUJAJAZA, NA KAMA HANA NETWORK ALIPO ALIOMBAJE USHAURI JF WAKATI AMESHACHAGULIWA KWA NINI HAKUOMBA WAKATI HAJAJAZA KOZI HIYO??

KUOMBA USHAURI SIYO TATIZO TATIZO NI UMEOMBA MUDA GANI??
Nawasilisha.
kwa hayo maelezo akishindwa kuelewa muache tu apambane na hali yake!!!
 
Umemjibu vyema amekurupuka tu nafikr hakusoma post vzr,

Tatizo cyo kutokutimiza ndoto za kozi yake tatizo ni kuomba kozi asiyoijuwa kwa nini asiombe ushauri kabla ya kuomba????

kuomba ushauri ruksa ila tatizo umeomba ushaur muda gani???

Na huyo ndugu uliyemjibu anadai may be alipo mhusika hakuna network sasa muda wa kutuma maombi ni zaidi ya mwezi swali mwezi mzima umeshindwa kwenda eneo la mtandao ukafanya upembuzi wa kozi kabla ya kuomba???

Na baada ya kuchaguliwa kozi asiyoijuwa wakati kaiomba mwenyewe alipataje network ya kupost JF na maombi yake VYUONI alitumia barua ya kuandika???

Hakuna kupindisha maneno kuomba kozi usiyoijuwa NI UZEMBE WA KUFATILIA MAMBO NA KUCHUKULIA MAMBO YA MSINGI SIMLE..
network ya kuja Jf anapata ila ya kufatilia mambo ya uzito zaid kuhus hatima ake hana!!😂😂
 
Back
Top Bottom